Usimpe nafasi ya pili mwanamke aliyekusaliti: Soma yaliyonikuta unaweza jifunza kitu

Usimpe nafasi ya pili mwanamke aliyekusaliti: Soma yaliyonikuta unaweza jifunza kitu

Hongera inaonekana ulijiunga(2014) ukiwa unamiaka 17 tu😒😒.
Hii chai tupu..
Me nimeanza kuisikia jf 2012 nikiwa form two na nimejiunga rasmi jf 2015 nikiwa form V nikiwa na miaka 18 baada ya kupata mbala tecno C8 hakuna cha ajabu zaidi ya ushamba wako wa wewe kuchelewa kuijua jf.
 
Tulia ww kiaz! Acha kukurupuka hujui kilichokuwa kinalengwa.
Mtu ametekenywa kidogo tu! Ghalfa umeshataja hadi umri wako plus kidato iliuonekane mjanja kumbe kiaz😂
Mm Jf nimeijua nikiwa na 12 ila huwez kuniona nikitaja ni mwaka gani wala nini! Ww endelea kukurupuka.....
 
Hamna, ww mzee baada ya kuona nimejiunga jf 2014 ukaona kuwa na 17yrs isingekua rahis kwa mimi kuijua jf.
 
Wewe kima umepata simu na kuijulia jf ukubwani huna lolote la kusema zaidi ya kuonesha kichwani kwako ni mweupe.....kwani kutaja umri humu ndani kuna shida ????kwa taarifa yako ningekuwa na acces ya simu o level basi ningejiunga form 2 nikiwa na miaka 16.
 
Hamna, ww mzee baada ya kuona nimejiunga jf 2014 ukaona kuwa na 17yrs isingekua rahis kwa mimi kuijua jf.
Tulia hujui kitu..
Wewe kima umepata simu na kuijulia jf ukubwani huna lolote la kusema zaidi ya kuonesha kichwani kwako ni mweupe.....kwani kutaja umri humu ndani kuna shida ????kwa taarifa yako ningekuwa na acces ya simu o level basi ningejiunga form 2 nikiwa na miaka 16.
Ww kiaz nakuonea huruma.
 
Humtunzi,unapiga shoo tu na vielfu kumi vyako mtu anamtoto kwa hali hii aolewe tu na jibaba lenye pesa sio yeye tu atakucheat,kila mtu ambaye utakuwa naye maana matunzo ni hafifu kwako.

Kama umeshindwa kuhudumia huyu je mwingine shoo sio i shu inshu hela
HahHah
 
Habari ya mchana wana jf
Mimi ni miongoni mwa member wachache ambao hatupendi kutoa mikasa yetu humu jf lakini kwa hili lililonipata nimeona tushare tunaweza jifunza vitu flani.

Mimi nina miaka 27, nilikua na mpnzi wangu ambaye tulianza uhusiano 2022 yeye sasa ana miaka 21, na pia yeye nilimkuta na mtoto mmoja na huyu mtu wangu anaishi kwao bado.

Huku mm nikiwa nipo kwangu kuweka mambo sawa ili mungu akipenda siku 1 nimchukue kwa ndoa japo dini ni tofauti bas mwaka jana mwshon nikiwa kazini nikiwa nipo na mtu naefahamiananae ambaye alkua anajua kua yule mschana sipo nae bas akawa ananiambia daa yule shem wa zamani skuhz anatoka na mtu flani na hadi anampikia msosi wanalala wote yan mapenz motomoto, nilimuulza mtu gani akanitajia jina la boy na hilo jina halikua gen kwangu kwan ni mpangaji mwenzao nyumbani kwao.

Kiukweli niliumia sana sana, ukizingatia nilikua namuamini 100% , nikfanya upelelez japo huyu mschana wangu alikataa kata kata yani alilia siku 4 mfululizo bas nami nikafanya upelelezi kwa watu wakarbu ikiwapo watoto wanaoishi nyumba ile pasipo na shaka wote walithibitisha kuwa hili ni la kweli kabisa, ila nikasema kwavile sijathibitsha kwa macho bas nimsamehe maisha yaende .

Badae nikaja kumnunulia simu ilikua hz sm za samsng mtu akifuta sms bas lazma ibaki kwenye recycle bin na yule alikua hajui, basi siku moja nikiwa nmeingia upande wa recycle bin nikaona sms jina lilelile anasema mbona nimekusubiri hujafika nae akamjibu nafika ila usipige. Nikambana ilikuaje akajitetea mm nikapoteza,.

Kubwa kuliko kuna mtu ambaye ndio huyohuyo jina lake nimeliskia sana amenitafuta kwa sm na kuniambia anaomba tuonane anajambo anataka tuongee, nikimkubalia tulionana cha kwanza alianza kunithibitishia kua hayo yote uliyowah sikia ni ya kweli, na kunionyesha picha mbalimbali za huyu mschn akiwa geto kwake jamaa akipika na akiwa anadeki nyngne ni nyng, lengo la kunifata jamaa ni kunishaur kua huyu mwanmke anatamaa sana, na kwasasa ameanza had kudanga kwa watu tofaut kwahyo kma nilikua na malengo bas niish nae kwa target sana niwe makini.

Juu ya hili sijamwambia huyu binti chochote ila nimeona nimuache kidogo kidogo kila mtu ashike zake au option ya 2 niwe nae kwaajili ya kupiga tu mzgo kila mtu ashike zake.
Haya yametokea juz,jana kwahyo bado matanga hayajaanuliwa.
Ahsanteni wana jf, karibun kwa ushauri zaidi.
Mwnamke haachiw kidogkiidogp. Landa kma unajitakia kisurkari
 
Back
Top Bottom