Usimpigie magoti mwanamke unapomvalisha pete

Men must wake up...!!

Unapiga magoti wakati kuna muhuni alikula bure!!!

Kama kuna mwanaume yeyote aliwahi kumpigia mwanamke magoti jipige kifua mara tatu kisha sema "Mimi nilikuwa Fala sana"
Acha kuwafundisha wenzio tabia mbaya 😹😹
 
.l
Naunga mkono
 
Tuweke rekodi sawa, ENGAGEMENT CEREMONY Siyo mambo yetu kabisaa, Sisi ukimpenda binti tuma mshenga kwao akikuelewa, hewaaa Unapata mke kanisani au msikitini mtavalishana Pete, kwa Wasabato Pete Siyo lazima.

Habari za mwanaume ambaye ni kichwa cha familia kumpigia magoti msaidizi wake HAIWEZEKANI

KWENU "MAFEMINISITI"😀
 
📌✅...
 
Inategemea ni mwanamke gani ila kama unakutana na Irene yule mrembo wa INSIDER MAN ni ruksa kupiga magoti.

NB: vyote ulivyoongea ni fact, haya mambo hayapo kwenye asili ya uafrika ila umagharibi ndio umeleta hizi tamaduni, ingawa wewe umeandika kwa hasira sana mkuu hahahaa.
 
Hii iwe applied kwa wakurya tu..wengine tunapiga hata nduru
 
Waafrika hatuna utamaduni wa kupiga goti wakati wa kuvishana pete. Iwe kwa mwanume au mwanamke. Huo sio utamaduni wetu. Kila mila ina utaratibu wake wa jinsi ya kuchumbia.
Tatizo letu kuiga tamaduni za watu..
 
Mafemisnist tupo..
Lakini pia suala la kumpigia goti mwanaume wakati anakuvisha pete ni mila ya wapi?
Tumecopy huko western halafu tunataka kuibadilisha mwanamke apige goti. Process ya kuchumbia kila mila ina taratibu zake. Haya mambo ya kuvishana pete yameanza juzi juzi tu hapa.
 
Kweli kabisaaa
That's is even against bible
Mwanaume ni kichwa
Mwanaume ni mtawala
Mwanaume ni kiongozi
Wanawake wanaopaswa kuheshimu waume zao
Kuolewa ni muujiza
Mwanaume anayepiga magoti ni dalili ya kuwa dhaifu kihisia
Hana sifa ya mtawala
Hisia zikimtuma atapigia mwanamke mwingine magoti


Yaani tumefikia stage mbaya sana wanaume,
Heri Basi wote msimame mvishane pete,,, sio mwanaume kupiga goti jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…