Usimpigie magoti mwanamke unapomvalisha pete

Title ilitakiwa iwe

Enyi ndugu zangu wakristo usipige goti wakati wa kumvisha pete mwanamke.
 
Shem singidani na magoti wapi na wapi? si mwanamke wala mwanaume anayepiga goti.

Mtasimama tu mkivalishana shem, sana sana ke atabonyea kidogo….. kidogo sana. au asimame tu na yeye.
Kwangu hilo halina shida kabisa, abonyee au asibonyee ni maamuzi yake shem.
 
Hakuna makubaliano kwenye suala la utiifu, from the first place mwanamke ndie anatakiwa kuwa submissive kwa mwanaume
Hakuna mahali nimebisha. Ninachosema ni kwamba mtindo wa kuvalishana pete..tena wa kupiga magoti sio wa kwetu bali ni wa wazungu. Tuwaachie utamaduni wao kama tunaona haupo sawa...sio kuanza kubishana nani apige goti na nani asipige.
 
niliwahi muambia kijana wangu mmoja marufuku kupiga goti. ukijapiga goti nitakuzingua sana

somo alilielewa
 
Hakuna mahali nimebisha. Ninachosema ni kwamba mtindo wa kuvalishana pete..tena wa kupiga magoti sio wa kwetu bali ni wa wazungu. Tuwaachie utamaduni wao kama tunaona haupo sawa...sio kuanza kubishana nani apige goti na nani asipige.
Mada haihusiani na mambo ya utamaduni mada inahusiana na tukio lenyewe la kuvalishana pete.

Mkikubaliana kuvalishana pete mwanamke ndie anatakiwa kupiga goti.
 
niliwahi muambia kijana wangu mmoja marufuku kupiga goti. ukijapiga goti nitakuzingua sana

somo alilielewa
Mimi kwenye group la whatsapp nilimchana live kabisa ndugu yangu ambae alikua anatarajia kwenda kuchumbia, nikamwambia ukipiga goti tunakutenga kwenye ukoo.
 
99% benefits za maisha ya mwanamke zinapatikana katika mahusiano ya ndoa. 100% ya benefits za kimafanikio za mwanaume anapata nje ya ndoa.
 
Kwa kweli Wanawake wa Kiafrika hawana cha ku offer kwenye ndoa zaidi ya uke.
Ni gharama sana kuishi na Mwanamke wa kiafrika,hata akiwa anaingiza kipato bado kipato chake hakina msaada kwenye familia.
Huko USA na UK ambapo harakati za kumkomboa mwanamke zimeanza hali si shwari kama huku tu.

Wanawake wana kazi nzuri, account zina hela, wana nyumba wanamiliki, magari ya bei, ila somehow bado wanastruggle kutafuta mwanaume wa kuwapa furaha au sababu ya kukamilisha maisha yao yawe maisha kamili.

Ni wazi wanawake mwalimu wao ni kipofu sababu ni kama walishaandikiwa tokea uumbaji kuwa maisha yao bila mwanaume hakuna ambalo litakwenda sawa sawa.

Wanaume tunakubali kabisa bila mwanamke mtii maisha yetu hayana furaha. Ila wao wanatulazimisha kuprove kuwa wao wanaweza maisha bila mwanaume na hawamuhitaji kwasababu yoyote ile.


Anyways, ndio maana tunaamua kuwapa challenge wanayoitafuta. Mtu akiwashwa halafu anakataa kukunwa na hana kucha muache na muwasho wake ahangaike nao.
 
Huwaga nachukia hichi kitendo hadi mwili huwa unasisimka naona aibu nikiona dume zima limechchuchuma eti linamvisha Pete mwanamke, huwa natama nikamnase kibao, yaani hichi kizazi cha Gen-z bwana daaah!
Ukifanya lile tendo mwanamke unampa ishara ya kumuabudu na kumtukuza na ndio maana wanawake waliopigiwa magoti huwa wanawapelekeshwa sana na wanawake zao.
 
Kwa wasukuma,wasafwa,wanyakyusa,wandali,wanyiha,waha,wajaluo,wajita,wakurya utapiga goti mama utake usitake ni utamaduni wao wanidhamu wala sio wa kuiga.

Na kwann usite kupiga magoti wakati ni kitendo cha kutii na kumpa heshima yake mwanaume ambaye utataka awe juu yako kukushika kwenye haya maisha? [emoji848]
 
Shem singidani na magoti wapi na wapi? si mwanamke wala mwanaume anayepiga goti.

Mtasimama tu mkivalishana shem, sana sana ke atabonyea kidogo….. kidogo sana. au asimame tu na yeye.
Watoto wa singida mnakuwaga watamu sana. Piga magoti kuongeza utamu wako kwa mwanaume.
 
Mambo ya kuvishana pete sio ya kwetu. Tuachane nayo..
Kama wamasai mdada anavalishwa bangili
Sisi kwetu unavalishwa tairi la gari kumaanisha kazi imeanza.
 
Miaka ya 1980s & 1990s wanaume walikuwa hawapigi mogoti hovyo. Lakini hiki kizazi cha zedi, yaani Gen Z imekuwa ndiyo kama "fashion" na wengi hata hubwaga machozi.
 

Attachments

  • IMG_20240725_093142.jpg
    82.3 KB · Views: 4
Hakuna mahali nimebisha. Ninachosema ni kwamba mtindo wa kuvalishana pete..tena wa kupiga magoti sio wa kwetu bali ni wa wazungu. Tuwaachie utamaduni wao kama tunaona haupo sawa...sio kuanza kubishana nani apige goti na nani asipige.
Mimi kama mtu mzima mwenzako nimekuelewa vizuri sana. Watu wazima huwa tunaona suluhu ya mambo mapema sana bila kugombana wala kuleta tafrani.

Ni vile tu uko mbali na mimi, ungelikuwa karibu ungechezea busu la shavu aina ya 'i ravu yuu' halafu kisha ukaniletea kikombe cha kahawa na ugolo wangu kwenye kile kimkebe nimeweka uvungu wa kitanda pale chini tukae tujadili mambo mengine ya maisha.
 
Hii ni hoja ya msingi sana. Vijana wengi huwa wanafuata tu tabia za kuigaiga mitandaoni kwa trends na wasione madhara yake.
 
Sijapinga kupiga goti kwenye mambo mengine kama ni utamaduni wao.
SIdhani kama hayo makabila uliyoyataja wana utamaduni wa kuvishana pete tena kwa kupiga goti.
Ninachosema ni kwamba kuvishana pete kwa kupiga goto mwanaume ni utamaduni wa kizungu..sisi tunaiga halafu tunakuja kulazimisha mwanamke apige goti.

KUvalishana pete kwa kupiga goti ni utamaduni wa mzungu na utaendelea kuwa hivyo. Sisi tuache kuiga.

Mimi mchaga sijawahi fundishwa kupiga goti popote pale. Na haitatokea nikapiga goti hasa kwa mwanaume ninae mvulia chupi.
Labda mzazi...
 
Sisi kwetu unavalishwa tairi la gari kumaanisha kazi imeanza.
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… hiyo imekaa vizuri. Sasa mvalishe tairi ya gari angalau uwe na IST, sio hata baiskeli huna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…