Usimruhusu mkeo apost insta picha zake wala aende Gym


Huo ni ubinafsi.

Yaani mtu Aache kupost kisa unaogopa big fish's watammeza?

Mkeo kama anapenda kupost muache apost ilimradi picha hazimdhalilishi.

Tayari ulishamuambia aki-cheat ndoa imeishia hapohapo why uogope? Unaogopa ukweli?
Unaogopa uhalisia wa tabia za mkeo?

Raha ya Mapenzi ni kumuacha mkeo aishi bila kumchunga
Wakimbakua unafukuza.
Unatafuta binti mdogo mbichi mkali maisha yanaendelea.

Kile unachokiogopa mara nyingi ndio hugeuka jaribu lako mara kwa mara.

Vijana, mapenzi sio hisia. Mapenzi ni uchaguzi.
Usimchunge mkeo. Mpe taarifa tuu kuwa akicheat hakuna kikao kitafanyika zaidi ya hiko kikao cha leo. Utamfukuza na utaoa mwanamke mwingine mdogo, mbichi.
 
kama ilivyo usimruhusu mkeo aende club

kwakua anapenda kwenda utamruhusu Ewe "Mtibeli?"
 
kama ilivyo usimruhusu mkeo aende club

kwakua anapenda kwenda utamruhusu Ewe "Mtibeli?"

Club tunaenda wote mbona.

Kama anaenda kucheza muziki muache amended.
Yaani mwanamke chini ya miaka 30 Aache kwenda club wakati anapenda kisa sheria za mwanaume?

Inategemea anaenda kufanya nini. Hiyo ndio hoja.
Watu wanakataza Wake zao kwenda mpaka Kanisani kutokana na kile kinachompeleka mwanamke huko au tabia ya mkewe ya umalaya.

Sisi Watibeli hatuwezi kuishi na watu kama watumwa.
Mtu anapenda kulala na wanaume why umzuie? Kwa nini umtese? Unatakiwa umuache awe huru.
 
Ahsante kwa taarifa, kila la kheri...


Cc: Mahondaw
Once a cheater always a cheater!
Vipi weye love ukimuelewa mwanamke huwezi cheat????

Anyways, mtoa mada kaongelea vitu vingiii kwa pamoja wajua kichwa yangu ilivo kilaza kuelewa! Msaada wa kueleweshwa pulllliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiizzzzzzzzz
 
Vyovyote vile sawa tu utombeke usitombeke ni ww tu , after all Quumarrr ni yako.....Raha jipe mwenyewe
Na mboo mpya ilivyo tam tena iwe ya A-list km ya mtoa mada aloooo,, roho wa bwana aendelee kuishi nami tangu sasa hata milele, tuseme amen,,,
 
Yani cha kufanya hapa tumuombee shemeji yetu, asimuudhi mtoa mada lasivyo kushare ni lazima, ila ujasiri wa hizi mambo mmetupa nyie wanaume, tuendelee hivi hivi
 
Shauri yake! Atajibeba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…