Usimruhusu mkeo apost insta picha zake wala aende Gym

Mimi ninadhani mtu asioe kabisa kama hawezi himili vishindo vya kwenye ndoa. Kuna watu hawapost kabisa ila analiwa na mtu wanayekutana naye kanisani au kazini. Kama mtu huna uvumilivu usioe.
 
Mimi ninadhani mtu asioe kabisa kama hawezi himili vishindo vya kwenye ndoa. Kuna watu hawapost kabisa ila analiwa na mtu wanayekutana naye kanisani au kazini. Kama mtu huna uvumilivu usioe.
Kuna dogo boda maeneo fulani anajilia mke wa bosi mmoja halafu dogo mwenyewe ni Chiba aisee nilijisemea mwanamke hana dhamana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…