Maeneo hayo ni Hatari
Hello Masai DadaKuna mtu alishaandika hivyo humu si muda mrefu.
Kwa kweli na mimi leo nakiri...
Yote hayo kwenye heading nayafanya, na nimefikia kwenye conclusion kwamba... it's very hard kunyooka.
Cha kwanza, sitaongelea gym, ila nazungumzia suala la kupost.
Binafsi sikuwa na profile yoyote yenye jina langu wala picha zangu popote pale kwenye social media (hadi sasa sina jina langu kwenye social media). Nina account za biashara tu.
So this year nilifungua account ila kwa jina la aka ya utotoni.
Napost tu picha zangu kwa ajili ya kumbukumbu.
Napata DM, ila hazishtui, nazignore tu.
Jamani leo nimepata DM moja hivi...
Duuuh, mpaka sasa nashindwa kujicontain aisee.
Mkaka amenyooka, yaani 10/10.
Halafu ni mmoja wa big boys Africa.
Ila ni Mtanzania.
Kwa kweli sikuwahi kumjua... I'm not so much into social media zaidi ya JF.
Ikabidi nimcheki, deep search huko Google...
Mamaaa! A-list kabisa.
Cha mwisho kabisa...
Ana hela.
Kwa anachofanya sikuwahi tu kumjua.
Please, there is always a bigger fish...
Hata mkeo umfanyie nini, honga uwezavyo, kuna mtu atakuzidia sehemu.
Hata kama mkeo kanyooka vipi, vitu vingine vinakukuta tu.
Nashukuru Mungu nilishasema siwezi kuishi na guilty ya kucheat.
Bora ugali dagaa kwenye amani.
Kwanza wakaka kama hawa wanacheat sana π€£π€£π€£π€£
Mtu kutumia mitandao ya kijamii hadi apewe ruhusu? Utumwa bado haujaisha hakika.
kwa hiyoo lini jamaa anaenda kula tunda ?Kuna mtu alishaandika hivyo humu si muda mrefu.
Kwa kweli na mimi leo nakiri...
Yote hayo kwenye heading nayafanya, na nimefikia kwenye conclusion kwamba... it's very hard kunyooka.
Cha kwanza, sitaongelea gym, ila nazungumzia suala la kupost.
Binafsi sikuwa na profile yoyote yenye jina langu wala picha zangu popote pale kwenye social media (hadi sasa sina jina langu kwenye social media). Nina account za biashara tu.
So this year nilifungua account ila kwa jina la aka ya utotoni.
Napost tu picha zangu kwa ajili ya kumbukumbu.
Napata DM, ila hazishtui, nazignore tu.
Jamani leo nimepata DM moja hivi...
Duuuh, mpaka sasa nashindwa kujicontain aisee.
Mkaka amenyooka, yaani 10/10.
Halafu ni mmoja wa big boys Africa.
Ila ni Mtanzania.
Kwa kweli sikuwahi kumjua... I'm not so much into social media zaidi ya JF.
Ikabidi nimcheki, deep search huko Google...
Mamaaa! A-list kabisa.
Cha mwisho kabisa...
Ana hela.
Kwa anachofanya sikuwahi tu kumjua.
Please, there is always a bigger fish...
Hata mkeo umfanyie nini, honga uwezavyo, kuna mtu atakuzidia sehemu.
Hata kama mkeo kanyooka vipi, vitu vingine vinakukuta tu.
Nashukuru Mungu nilishasema siwezi kuishi na guilty ya kucheat.
Bora ugali dagaa kwenye amani.
Kwanza wakaka kama hawa wanacheat sana π€£π€£π€£π€£
Ndio mkuu, binafsi mm hua sipendi mambo yangu yawe obvious online.
Ila unajichanganya kuoa mke, Anapost kuanzia ndoa, mimba, outings, Hospitali aliyojifungua, Mtoto, nyumba yenu - hapa mpaka sebule π€£.
Yaaani unajikuta tu siku mkeo kakutrendisha out of know where
Mm hapana, na hili litajadiriwa mapema kabla ya kuoana, Kupost mambo ya Familia yangu Mwisho Watsup Status.
Jamani leo nimepata DM moja hivi...
Duuuh, mpaka sasa nashindwa kujicontain aisee.
Mkaka amenyooka, yaani 10/10.
Mamaaa! A-list kabisa.
Sorry naomba hiyo A.K.A yako ya utotoni please kama hutojali, inaweza ikanifaa kwa matumizi binafsi, if you're nterested just PM. Thanks...Kuna mtu alishaandika hivyo humu si muda mrefu.
Kwa kweli na mimi leo nakiri...
Yote hayo kwenye heading nayafanya, na nimefikia kwenye conclusion kwamba... it's very hard kunyooka.
Cha kwanza, sitaongelea gym, ila nazungumzia suala la kupost.
Binafsi sikuwa na profile yoyote yenye jina langu wala picha zangu popote pale kwenye social media (hadi sasa sina jina langu kwenye social media). Nina account za biashara tu.
So this year nilifungua account ila kwa jina la aka ya utotoni.
Napost tu picha zangu kwa ajili ya kumbukumbu.
Napata DM, ila hazishtui, nazignore tu.
Jamani leo nimepata DM moja hivi...
Duuuh, mpaka sasa nashindwa kujicontain aisee.
Mkaka amenyooka, yaani 10/10.
Halafu ni mmoja wa big boys Africa.
Ila ni Mtanzania.
Kwa kweli sikuwahi kumjua... I'm not so much into social media zaidi ya JF.
Ikabidi nimcheki, deep search huko Google...
Mamaaa! A-list kabisa.
Cha mwisho kabisa...
Ana hela.
Kwa anachofanya sikuwahi tu kumjua.
Please, there is always a bigger fish...
Hata mkeo umfanyie nini, honga uwezavyo, kuna mtu atakuzidia sehemu.
Hata kama mkeo kanyooka vipi, vitu vingine vinakukuta tu.
Nashukuru Mungu nilishasema siwezi kuishi na guilty ya kucheat.
Bora ugali dagaa kwenye amani.
Kwanza wakaka kama hawa wanacheat sana π€£π€£π€£π€£
wee koma! mimi si malaya!Hakuna mwanamke asiye malaya, n mbinu tuu ndio tofauti
Mpaka sasa umefuck na wanaume wangapi?wee koma! mimi si malaya!
Me sijawahi! πMpaka sasa umefuck na wanaume wangapi?
Over my dead body πMe sijawahi! π
bisha sasa!Over my dead body π
Wakat mm nimekula sana hapo πbisha sasa!