CHANANJA DYNASTY
JF-Expert Member
- Sep 14, 2024
- 772
- 1,121
uandishi wa habari, na upolisi ni KAZI za KIKUDA na UKUDA_UKUDA_Jazz_Band.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
waandishi wa habari wanapata shida sana, wanaomba omba sana pesa, wanakula sana rushwa ili wasikurushe au wakurushe, inasikitisha sana. nimeshafanya nao kazi miaka kadhaa, na huwa nawaonea huruma. ndio maana wana hasira, wanatangaza kwa kisirani habari hasa zinazodhalilisha watu, ni kwa sababu hawawajali, hawalipwi vizuri na hata hao wanaolipwa mikataba yao ya ajira inatia huruma au haipo kabisa.Kuna mdau humu ameposti juu ya changamoto zinazowakumba waandishi wa Azam Mikoani eti wameshushiwa ujira kutokea tshs 500,000 mpaka 300,000 kwanza nikagutuka kwamba wanalalamika kwa kulipwa 300,000?!!
Kama Azam waandishi mikoani wanalipwa 300,000 basi ITV hali ikoje? Je hizi media ndogondogo za dini mambo yakoje? Kusema kweli hamna tasnia inazaa watu wenye "low self esteem" kama journalism maana ili waishi ni lazima walambe miguu ya watu wengi ili maisha yaende; mnaonaga vile vipaza sauti (mic) vinavyojaa katika press conference za kina Haji Manara na Mwijaku? Basi usishangae kila "mwandishi" aliyetokea kapoteza siku nzima ili akapewe tshs 10,000 tu siku iende
Kwa wanawake hali ndio mbaya zaidi katika kutafuta namna ya kujiongezea kipato
Nyinyi ndio mnapoteza watu kwa mentality za kidwanzi namna hii; nyie ndio mmesababisha mtaani wamejaa watu wana ukurutu wa degree ambazo kupata kazi ni ndoto za alinachaacha kukatisha watu tamaa kwa kufeli kwako kupata na kufanya kazi kwenye fani au ujuzi uliosomea.
kijana awaye yeyote.
Nenda shule, na usome kwa bidii ufaulu vizuri, full stop.🐒
Journalism imeuliwa na kukua kwa internet,Kuna mdau humu ameposti juu ya changamoto zinazowakumba waandishi wa Azam Mikoani eti wameshushiwa ujira kutokea tshs 500,000 mpaka 300,000 kwanza nikagutuka kwamba wanalalamika kwa kulipwa 300,000?!!
Kama Azam waandishi mikoani wanalipwa 300,000 basi ITV hali ikoje? Je, hizi media ndogondogo za dini mambo yakoje? Kusema kweli hamna tasnia inazaa watu wenye "low self esteem" kama journalism maana ili waishi ni lazima walambe miguu ya watu wengi ili maisha yaende; mnaonaga vile vipaza sauti (mic) vinavyojaa katika press conference za kina Haji Manara na Mwijaku? Basi usishangae kila "mwandishi" aliyetokea kapoteza siku nzima ili akapewe tshs 10,000 tu siku iende
Kwa wanawake hali ndio mbaya zaidi katika kutafuta namna ya kujiongezea kipato
Pia soma:DOKEZO - Waandishi wa Habari Azam wanataabika Mikoani, wanahitaji msaada kulipwa stahiki zao
Traditional/legacy media inakufa; ukiondoa upande wa michezo sioni kama kuna eneo ambalo huu uhalisia unaenda kubadilika
Azam yenyewe iko afloat mostly kwasababu ya tamthilia, ITV wanajiita super brand kwasababu ya taarifa ya habari ambayo kusema kweli kwa hali inavyoendelea unaweza ukalinganisha na chui wa karatasi
You do you my brother, you do you!Mi nataka ninunue camera na channel ya youtube yenye wafuasi 200k nianzishe online Tv bila hata hayo mambo ya journalism
Hard stories au hard news zipo kibao mtaani zenye kugusa maisha ya watu,shida kubwa ipo kwa waandishi na wamiliki wa media house,ambao ni mwiba kwa waandishi hasa kwenye kuzingatia ethics.Yellow journalism ni janga la taifa
waende wakasome kwa bidii sana, ili wakapate ujuzi na maarifa ya kuja kuibadili fikra na mitazamo ya jamii na maisha kijamii, kiuchumi na kisiasa,Nyinyi ndio mnapoteza watu kwa mentality za kidwanzi namna hii; nyie ndio mmesababisha mtaani wamejaa watu wana ukurutu wa degree ambazo kupata kazi ni ndoto za alinacha
utapiga pesa vizuri tu, ila unatakiwa kuajili mwandishi hata wa kamisheni.Mi nataka ninunue camera na channel ya youtube yenye wafuasi 200k nianzishe online Tv bila hata hayo mambo ya journalism
Mtu ana degree ya soshiolojia unataka nae akafanye kilimo na ufugaji? Au hiyo mtu unamshaurije?waende wakasome kwa bidii sana, ili wakapate ujuzi na maarifa ya kuja kuibadili fikra na mitazamo ya jamii na maisha kijamii, kiuchumi na kisiasa,
na sio kulalamika kama wewe bila kutumia maarifa na ujuzi wa kitaalamu ulionao baada ya kuhitimu masomo ya chuo, na kutumia fursa bwerere zilizoko nchini kufanya biashara, kilimo, ufugaji n.k🐒
Huyu ndiyo kabisaa ameshachanganyikiwa.Pascal Mayalla eti ni kweli🤔
😲Huyu ndiyo kabisaa ameshachanganyikiwa.
Week mbili hizi ameanzisha mada za hovyo na mbovu sana humu hata mtoto darasa la nne hawezi kuzizungumza hadharani.
Mimi mwenyewe zao la SAUT, nimesoma na hao watu kozi kazaa (niko PR), nikiwaza lile nyomi la journalism na mass communication najiuliza sahizi wanafanya nini?Hard stories au hard news zipo kibao mtaani zenye kugusa maisha ya watu,shida kubwa ipo kwa waandishi na wamiliki wa media house,ambao ni mwiba kwa waandishi hasa kwenye kuzingatia ethics.
Pale SAUT wanao jiunga na kitovu cha journalism na mass communication ni wengi sana lakini mwaka wa tatu,wengi hukimbilia PR,hivyo kufanya wahitimu kamili wa uandishi wa habari hawafiki hata 30.