Hapana mkuu, nikijiridhisha namwacha aende kwa amani kabisa, sijawahi na sitarajii kuanzisha timbwili hata kama nipo kwenye ndoa, sasa mkuu bado uchumba tu naona maluweluwe si bora nijiridhishe mapema kabla sijamwita majutoSi unataka kumdukua mtu so hapo lazima timbwili litokee
Ni jambo zuri but kuwa makini tu usije fanya maamuzi yasiyo sahihi tuHapana mkuu, nikijiridhisha namwacha aende kwa amani kabisa, sijawahi na sitarajii kuanzisha timbwili hata kama nipo kwenye ndoa, sasa mkuu bado uchumba tu naona maluweluwe si bora nijiridhishe mapema kabla sijamwita majuto
Sawa mkuuNi jambo zuri but kuwa makini tu usije fanya maamuzi yasiyo sahihi tu
Shost acha tu mashambulizi hayo ni afadhali hata nyambiziHizi comments zitanifanya nisome huu uzi wote mpaka nukta,.sio kwa shambulizi hizi,.
mwanamke ni wako ukiwa naye hapohapo,akiondoka sio wako tenaAcha kuandika sana mimi nikiwa Dar mwanamke yupo Bagamoyo tu penzi lazima litakufa itakua wewe uliyehama mkoa?
Ndiyo ilivyo mwanaume kamwe haminiki 100%Hata wanawake nao wanasema usimuamini mwanaume na uwe na kiasi....
Women lies, men lies
Hawa jamaa zetu hawa,..nikuwaweka kwenye maombi tuu na kufunga 3 kavu,.Mungu awape Rehema na Neema,.Shost acha tu mashambulizi hayo ni afadhali hata nyambizi
Hahahahaa,. Naona umetoa asilia zote shogaa,Ndiyo ilivyo mwanaume kamwa haminiki 100%
Haaa haaa kumbe unataka kumdukua shem [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Ahsante sana ila mie ni ke
Si uitaje mkuu au unaogopa banKuna mitahira inajisifu ujinga humu
Niogope ban ili iwejeSi uitaje mkuu au unaogopa ban
Anhaa basi mwagikaNiogope ban ili iweje
[emoji124] [emoji124] akianza safari yakwenda ghafula [emoji125] [emoji125] kurudi nyumbani, tutafunga tu kabla hajaendaHawa jamaa zetu hawa,..nikuwaweka kwenye maombi tuu na kufunga 3 kavu,.Mungu awape Rehema na Neema,.
Kuna me kasema 100% ke haaminiki sasa me anaaminika zote 100% jibj hapana[emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17]Hahahahaa,. Naona umetoa asilia zote shogaa,
Hahaha,..maombi yatawanyoosha tuu,.[emoji124] [emoji124] akianza safari yakwenda ghafula [emoji125] [emoji125] kurudi nyumbani, tutafunga tu kabla hajaenda
Mungu anakuonyesha unatibua dili [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sikuhizi ban duu kama maji yakunywa vileNiogope ban ili iweje
Watanyooka tu wasione kimya ukizama 3 kavu ukiibuka kitu kinajibu tutafika tuHahaha,..maombi yatawanyoosha tuu,.
Lazima tuwatoe misri tuwapeleke kaanani,.kwa msaada wa Mungu.Watanyooka tu wasione kimya ukizama 3 kavu ukiibuka kitu kinajibu tutafika tu