Usimuazime simu yako mtu usiyemfaham vizuri, Itakugharimu

Aisee hiyo kitu imetokea kwangu tarehe7 mwezi huu
Almanusra nikalazwe kituo chapolisi bahati nzuri polisi wanakuja wakanikuta nipo job
Daah ikabidi waniteme nakunipa maelekezo yakesho niende kuripoti kuandika maelezo.
 
Kuna jamaa(Hatufahamiani) aliazima yangu apige jamaa yake, sm imeita ghafla nasikia matusi ya nguoni nilistuka nikampokonya sm yangu, kwa hasira nikamuuliza kwann unatumia vibaya simu yangu... Jamaa alionekana na hasira sana akaondoka zake, kilichofatia aliniachia msala yule jamaa ambae alikua anaongea nae alikua anapiga sm kwa hasira napojaribu kupokea matusi yanakuja kwangu, baadae niliacha kupokea akaanza kutiririsha msg za matusi.... Mpaka Leo sielew ilikuaje, sijawah luazimisha tena simu kwa mtu nisiemuelewa.
 
Tunapoelekea hata kusalimiana haitawezekana. Miaka michache nyuma tu hapo kuna vijiji uliweza kugonga mlango wa usiyemjua na akakupa chakula na malazi. Mambo yanaharibika sababu ya kuongezeka uhalifu.
Ndio maana bible inasema sababu yakuongezeka kwa maovu upendo wa wengi utapoa Mathew 24:12
 
Kuna dogo hapa home alikaa mahabusu week2 nzima kisa kumuazima mtu simu. Kumbe anampigia mwenzake wakavunje sehemu. Upelelezi ukaonyesha simu ya dogo ilihusika aliemuazima simu hamjui ikabidi atafutwe ile namba iliyowasiliana kupitia simu ya dogo baada ya kunaswa ndiyo dogo katoka
 
Waambie sitaki na simu yangu full stop
 
iliwahi nitokeaga 2022 mpka leo nimekoma kuazima simu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ