Usimuazime simu yako mtu usiyemfaham vizuri, Itakugharimu

Usimuazime simu yako mtu usiyemfaham vizuri, Itakugharimu

Usiwape simu simpre.
Niliibiwa simu 6 miaka 2 tu.
Kilichoshangaza kuna siku nimekaa wakaja waswahili wawili.tukapiga vyombo wakaniibia nilipoenda chooni.
Mi niliondoka nafika maskani simu haipo,walet haipo nikawauliza wakadai we ulitimua tu ulivyotoka chooni.
Mi nilikumbuka niliacha kila kitu mezani.
Nimerudi nikaondoka tu.
Anyway ni jambo dogo sana,ila tulilinikwaza hawa watu nawajua inakuaje waniibie.
Kulikua na euro kwenye warlet za kutosha zikafutwa.
Simu connection Kwaheri.
Nilisamehe tu yakaisha
Duh hatari,, hawaangalii hata wa kumuibia,, wao yyte yule wanampuna!!
 
Back
Top Bottom