Usimuazime simu yako mtu usiyemfaham vizuri, Itakugharimu

Roho nzuri zina gharama kubwa bora kuwa roho mbaya tu hata hizi lift hasa za mida ya usiku sio nzuri kuwa na tahadhari muhimu sana kwa maisha ya sasa
Afu ktu kimoja nmejifunza
"ukiwa huna kazi/biashara yaani jobless, unakuwa you cant think rationally,,, unakua unaona kila mtu anaekuja mbele yako labda anaweza kuwa connection kwako kwa hyo you try to play good kwa kila mtu kwa hyo hujui yupi ni yupi
 
Pipo haziko hivyo
 
Bila kujali scenarios gani imetokea kwangu mimi ni vigumu kumuazima simu yangu mtu yeyote.
 
Back
Top Bottom