Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Hata kwa Ruto litapita wiki hiiLitakufikia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kwa Ruto litapita wiki hiiLitakufikia
Alione Shadeeya inatosha atakua kaniwakilishaLitakufikia
Mjifunze kupitia sisiHata kwa Ruto litapita wiki hii
Nilikua nakutafuta uingie mkenge mkichukua hili kombe mwakani niite 🐕Mjifunze kupitia sisi
Kwer kabisa umeongea inshu nyeti ubarikiwe kunikumbushaIko hivii;
Hapa mtaan kuna office za kubeti kwa hyo mara nyingi huwa nashinda hapo. Sasa kuna jamaa imetokea tu tumezoeana kwa sababu kila sku tunakutana humo ndanin(simjui jina wala sina details zozote juu yake).
Sasa kuna siku akaazima smu yangu ampigie mtu nikasita nikamwambia mimi sina dakika. Sasa jana kaazima tena simu yangu ampigie mtu nikashindwa kukataa kwa sababu nilikua nmetoka kumpigia mtu muda huohuo kwa hyo alikua na uhakika kwamba nina dakika.
Mimi: Hallo mpigie mwnyewe mana mm nshaondoka pale
Namba ngeni: Mimi namba yake sina, nipatie nimpigie
Mimi: Kwan yule ni nani yako mpaka mnawasiliana afu huna namba yake?
Namba ngeni: Mimi ni askari polisi wa upelelezi nipo Kigambon namtafuta huyo ni mhalifu
Nikakata simu nkarudi kule kwenye kubeti nkamwambia jamaa hebu ongea na hii namba mana sielewi elewi. Nkampigia yule wa namba ngeni then wakaongea kidogo nikamwambia jamaa ampe namba zake ili ampigie kwenye smu yake
Jamaa akamtajia namba akampigia wakaongeaaa wakamaliza. Nkamuuliza huyu jamaa ambae nlimuazma smu kwani huyo anaepiga ni nan kwako? Akanambia ni kaka yangu yeye ni askari na ana miradi mingne lakini hanaga msaada kwangu. Nkashtuka mhhh inakuaje kaka yako akuite mhalifu? Jamaa akanielezea pale kwamba huyu kaka yao ni mtu wa kujimwambafai n.k
Sikuridhika na maelezo yake ikabidi niipige tena ile namba ngeni
Mimi; vp kwa hyo huyu jamaa sio mhalifu?
Namba ngeni; hapana huyo sio mhalifu ila nlitumia tu hiyo njia ili kuweza kuongea nae, huyo ni mdogo wangu.
MWISHO.
Ukiachana na scenario hyo pia
Kuna siku jamaa mwingine kaazma simu ya mtu atume sms mara moja, kumbe anachati na binti ambaye ni mwanafunzi. Baada ya kumaliza charting akamrudishia smu mwwnye nayo, asa kumbe yule mwanafunzi anatumia smu ya mamake na hakufuta msg alizokuwa anachat, basi yule mama kafatilia ile namba mdogo mdogo akaja kumdaka jamaa ambae ndo mmiliki wa simu sasa. Jamaa alijitetea sana kwamba sio yy aliekuwa anachat na mwanae lakn wapiiii,,, jamaa alilala kituoni sku mbili ndo mhusika alivopatikana jamaa akaachiwa.
Au sometime unajikuta upo kwenye basi afu abiria mwenzio anaazma simu ampigie mwenyeji wake,,
Au upo ofisini kwako anakuja mtu kabeba bag anaonekana kabisa huyu n mgen maeneo haya anakuambia smu yake haina chaji/hana smu/kapoteza smu kwa hyo anaazima smu ampigie mwenyeji wake,,,,, kumbuka watu hawa unakua hujui wana mipango gan labda ni majambazi/wauaji/ human trafficking /any other criminals wanawasiliana kwa hyo wakidakwa na ww unaunganishwa kwny kesi.
Swali langu ni je NAWEZAJE KUKWEPA KUWAAZIMA SIMU YANGU WATU AMBAO HATUFAHAMIANI VIZURI ILI KUEPUKA MATATIZO??
Mungu atupe uzima. Mwakani usibadili IDNilikua nakutafuta uingie mkenge mkichukua hili kombe mwakani niite 🐕
Umeiweka kitaalam sana mkuu!Waambie tu ukweli kuwa humfahamu na huwezi kumuazima simu yako aitumie.
Mpe nasaha kwanza kuhusu kilichowahi kukukuta then unamalizia kwa kukataa kulingana na scenario uliyomueleza
kwakipigo nilicho kutananacho sintasahau mtu mwenyewe humfahamu umeachiwa kesi usio ijuwa nilitolewa mkoani mpaka dar nilizungushwa jiji lote mitutu inakuangalia kuazima simu nimekoma bora nikununulie vocha ukapambane huko mbeleJapo in normal social realm ukimkatalia mtu smu yako unaonekana mchoyo pro max
Hauna dakika na umetoka kupiga simu muda huo huoEasy tu sina dakika.
Since 2012 I'm hereMungu atupe uzima. Mwakani usibadili ID
I know thatSince 2012 I'm here
I can't change even my usernameI know that
NDIO huyo ni mmoja wa watu usiowafahamu kwanini waguse Simu yako? SIO mkeo TU hata Mumeo na MkweoWewe umeongelea mtu usiyemfahamu. Mimi naongezea. Hata mkeo unayelala nae kitanda kimoja uchi marufuku kugusa simu yako.
That's good. Ngoja tusubiri msimu ujaoI can't change even my username