Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 24,606
- 39,289
Kuwa Muwazi: Waambie kwa upole na kwa heshima kuwa hupendi kuwapa watu simu yako.Vp swali lililopo pale bottom line
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwa Muwazi: Waambie kwa upole na kwa heshima kuwa hupendi kuwapa watu simu yako.Vp swali lililopo pale bottom line
Huku mkoani hamna hilo jinaNilipita Msimbazi hukuniona?
Ni kutomkubalia tuIko hivii;
Hapa mtaan kuna office za kubeti kwa hyo mara nyingi huwa nashinda hapo. Sasa kuna jamaa imetokea tu tumezoeana kwa sababu kila sku tunakutana humo ndanin(simjui jina wala sina details zozote juu yake).
Sasa kuna siku akaazima smu yangu ampigie mtu nikasita nikamwambia mimi sina dakika. Sasa jana kaazima tena simu yangu ampigie mtu nikashindwa kukataa kwa sababu nilikua nmetoka kumpigia mtu muda huohuo kwa hyo alikua na uhakika kwamba nina dakika.
Mimi: Hallo mpigie mwnyewe mana mm nshaondoka pale
Namba ngeni: Mimi namba yake sina, nipatie nimpigie
Mimi: Kwan yule ni nani yako mpaka mnawasiliana afu huna namba yake?
Namba ngeni: Mimi ni askari polisi wa upelelezi nipo Kigambon namtafuta huyo ni mhalifu
Nikakata simu nkarudi kule kwenye kubeti nkamwambia jamaa hebu ongea na hii namba mana sielewi elewi. Nkampigia yule wa namba ngeni then wakaongea kidogo nikamwambia jamaa ampe namba zake ili ampigie kwenye smu yake
Jamaa akamtajia namba akampigia wakaongeaaa wakamaliza. Nkamuuliza huyu jamaa ambae nlimuazma smu kwani huyo anaepiga ni nan kwako? Akanambia ni kaka yangu yeye ni askari na ana miradi mingne lakini hanaga msaada kwangu. Nkashtuka mhhh inakuaje kaka yako akuite mhalifu? Jamaa akanielezea pale kwamba huyu kaka yao ni mtu wa kujimwambafai n.k
Sikuridhika na maelezo yake ikabidi niipige tena ile namba ngeni
Mimi; vp kwa hyo huyu jamaa sio mhalifu?
Namba ngeni; hapana huyo sio mhalifu ila nlitumia tu hiyo njia ili kuweza kuongea nae, huyo ni mdogo wangu.
MWISHO.
Ukiachana na scenario hyo pia
Kuna siku jamaa mwingine kaazma simu ya mtu atume sms mara moja, kumbe anachati na binti ambaye ni mwanafunzi. Baada ya kumaliza charting akamrudishia smu mwwnye nayo, asa kumbe yule mwanafunzi anatumia smu ya mamake na hakufuta msg alizokuwa anachat, basi yule mama kafatilia ile namba mdogo mdogo akaja kumdaka jamaa ambae ndo mmiliki wa simu sasa. Jamaa alijitetea sana kwamba sio yy aliekuwa anachat na mwanae lakn wapiiii,,, jamaa alilala kituoni sku mbili ndo mhusika alivopatikana jamaa akaachiwa.
Au sometime unajikuta upo kwenye basi afu abiria mwenzio anaazma simu ampigie mwenyeji wake,,
Au upo ofisini kwako anakuja mtu kabeba bag anaonekana kabisa huyu n mgen maeneo haya anakuambia smu yake haina chaji/hana smu/kapoteza smu kwa hyo anaazima smu ampigie mwenyeji wake,,,,, kumbuka watu hawa unakua hujui wana mipango gan labda ni majambazi/wauaji/ human trafficking /any other criminals wanawasiliana kwa hyo wakidakwa na ww unaunganishwa kwny kesi.
Swali langu ni je NAWEZAJE KUKWEPA KUWAAZIMA SIMU YANGU WATU AMBAO HATUFAHAMIANI VIZURI ILI KUEPUKA MATATIZO??
Waambie simu yako haina salio au ni mbovu unaipeleka kwa fundi au wasmbie ndio unatoka kwa fundi na kwamba fundi amekuonya usiitumie hadi gundi ikauke. Full stop. Mazoea na watu usiowajua sio mazuri.Iko hivii;

Mda huo huo umetoka kumpigia mtu,, ukisema huna salio atakuelewa kweli?Waambie simu yako haina salio au ni mbovu unaipeleka kwa fundi au wasmbie ndio unatoka kwa fundi na kwamba fundi amekuonya usiitumie hadi gundi ikauke. Full stop. Mazoea na watu usiowajua sio mazuri.
Ndio. Mwambie nimepiga salio limeisha. Hawezi kukulazimisha. Hiyo ni mali yako.Mda huo huo umetoka kumpigia mtu,, ukisema huna salio atakuelewa kweli?
Ni sawa tu ila umemwambia ukweliWatakukata jicho hilooooo😀😀
Kesho chopper itapita kila mtu atalionaHuku mkoani hamna hilo jina
Naelekea Nairobi na flight ya saa 12 asubuhi tokea KIAKesho chopper itapita kila mtu ataliona
Haina shida Kuna picha ngoja nikupandishie jamvini uzioneNaelekea Nairobi na flight ya saa 12 asubuhi tokea KIA
Sawa sawa ila sio zile za jana ama za leo mmekaa kwenye migari kwa juuHaina shida Kuna picha ngoja nikupandishie jamvini uzione
Unataka zipi?Sawa sawa ila sio zile za jana ama za leo mmekaa kwenye migari kwa juu
Tuone chopa tulipoUnataka zipi?
TrueNdio maana bible inasema sababu yakuongezeka kwa maovu upendo wa wengi utapoa Mathew 24:12
LitakufikiaTuone chopa tulipo