Usimuazime simu yako mtu usiyemfaham vizuri, Itakugharimu

Usimuazime simu yako mtu usiyemfaham vizuri, Itakugharimu

Kuna jamaa(Hatufahamiani) aliazima yangu apige jamaa yake, sm imeita ghafla nasikia matusi ya nguoni nilistuka nikampokonya sm yangu, kwa hasira nikamuuliza kwann unatumia vibaya simu yangu... Jamaa alionekana na hasira sana akaondoka zake, kilichofatia aliniachia msala yule jamaa ambae alikua anaongea nae alikua anapiga sm kwa hasira napojaribu kupokea matusi yanakuja kwangu, baadae niliacha kupokea akaanza kutiririsha msg za matusi.... Mpaka Leo sielew ilikuaje, sijawah luazimisha tena simu kwa mtu nisiemuelewa.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Itakuwa walikua wamegombana kwa hyo jamaa akam block huyo mgomvi wake na kuamua kutumia namba ngeni (namba yako)
 

Attachments

  • maxresdefault.jpg
    maxresdefault.jpg
    96.6 KB · Views: 1
Aisee hiyo kitu imetokea kwangu tarehe7 mwezi huu
Almanusra nikalazwe kituo chapolisi bahati nzuri polisi wanakuja wakanikuta nipo job
Daah ikabidi waniteme nakunipa maelekezo yakesho niende kuripoti kuandika maelezo.
Simu zinaponza wengi sana asee, inafika mda mtu akiazma smu yako unataman umpe jero akanunue vocha ajaze kwny smu yake,, but utawapa wangapi
 
Kunaye mmoja aliomba aniazime simu ajipigie ali mis place simu yake
Nkamwambia Naomba kitambulisho cha NIDA
Yeye : Ngosha acha us*enge Nida kwani nakopa kausha damu?
 
Nakutana nayo sana ila sijawahi kushawishika kabisa nina kauchoyo mkuu kananisaidia sometimes
Lets assume mtu mmezoeana kiasi but u dont have any clue about him/her afu mpo sehem, wakati umeishikilia smu yako gafla anakwambia,,
"eb sim yako mara moja kuna mtu nataka nmchek mi sna salio"

Unamjibuje kwa mfano
 
Mm huwa namuuliza mtu kwanza maswali haya:

"Unataka kuongea na nani mna undugu nae kivipi sipendagi kumpa mtu simu yangu matapweli wengi siku hizi".
Anakwambia ni kakangu/dadangu/workmate

Je hyo inatosha kukuaminisha kwamba anayeongea nae ni mtu sahihi kweli?
 
Usiwape simu simpre.
Niliibiwa simu 6 miaka 2 tu.
Kilichoshangaza kuna siku nimekaa wakaja waswahili wawili.tukapiga vyombo wakaniibia nilipoenda chooni.
Mi niliondoka nafika maskani simu haipo,walet haipo nikawauliza wakadai we ulitimua tu ulivyotoka chooni.
Mi nilikumbuka niliacha kila kitu mezani.
Nimerudi nikaondoka tu.
Anyway ni jambo dogo sana,ila tulilinikwaza hawa watu nawajua inakuaje waniibie.
Kulikua na euro kwenye warlet za kutosha zikafutwa.
Simu connection Kwaheri.
Nilisamehe tu yakaisha
 
Kunaye mmoja aliomba aniazime simu ajipigie ali mis place simu yake
Nkamwambia Naomba kitambulisho cha NIDA
Yeye : Ngosha acha us*enge Nida kwani nakopa kausha damu?
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hyo issue ndogo hutakiwi kuogopa hvyo BTW, wewe ni mtumishi wa serikali kwa hyo at least una kinga huez kuwekwa cell kizembe,,, ukikaa cell nani atafanyia watu operation?
 
Back
Top Bottom