King 999
JF-Expert Member
- Aug 15, 2019
- 5,872
- 8,374
- Thread starter
- #61
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Kuna jamaa(Hatufahamiani) aliazima yangu apige jamaa yake, sm imeita ghafla nasikia matusi ya nguoni nilistuka nikampokonya sm yangu, kwa hasira nikamuuliza kwann unatumia vibaya simu yangu... Jamaa alionekana na hasira sana akaondoka zake, kilichofatia aliniachia msala yule jamaa ambae alikua anaongea nae alikua anapiga sm kwa hasira napojaribu kupokea matusi yanakuja kwangu, baadae niliacha kupokea akaanza kutiririsha msg za matusi.... Mpaka Leo sielew ilikuaje, sijawah luazimisha tena simu kwa mtu nisiemuelewa.
Itakuwa walikua wamegombana kwa hyo jamaa akam block huyo mgomvi wake na kuamua kutumia namba ngeni (namba yako)