Usimuazime simu yako mtu usiyemfaham vizuri, Itakugharimu

Kwer kabisa umeongea inshu nyeti ubarikiwe kunikumbusha
 
Japo in normal social realm ukimkatalia mtu smu yako unaonekana mchoyo pro max
kwakipigo nilicho kutananacho sintasahau mtu mwenyewe humfahamu umeachiwa kesi usio ijuwa nilitolewa mkoani mpaka dar nilizungushwa jiji lote mitutu inakuangalia kuazima simu nimekoma bora nikununulie vocha ukapambane huko mbele
 
Nakuongezea hii


Epuka kujifanya msamaria kutaka kupokea mizigo watu waliosimama kwenye daladala usiowafahamu. Kwa simu, kama anakwambia hana vocha wewe mpe jero akanunue vocha akikwambia simu yake imeisha chaji mpe jero akatafute pa kuchajia simu.

Wandugu, jifunzeni kuwa strict katika maisha yenu, usitake kuonekana mwema ukaja kulia kipumbavu
 
Kikubwa zaidi usije ukampa mwanafunzi wa kike lift hata Kama Ni jirani yako, mvua inanyesha na Giza linaingia. Utakuja kujuta hutopata wa kukutetea.
Mwisho kabisa usije ukamsifia mwanamke yoyote mbele ya mke wako au mke wako akajua, tafadhali MTU wa kusifiwa Ni mwanao na mke wako tu. Full stop.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…