Usimuonee huruma Mwanamke

😂😂😂😂😂

Visa ni vingi kwa kweli
 
Aisee
 
Nakuunga mkono 100% ulichokiongea ni correct . Hawa viumbe ni hatari Sana wamesababisha maumivu mengi Sana hapa duniani
 
Noted,
Mke anayekupenda na binti yako ndio wanawake wa kula hela yako mwanaume,
Wengine chapa na kupita tena kwa kugalalizA bei,
 
Ulicho andika apo inaonyesha wanawake maisha yenu yote ni ku deal na watu na wala sio jambo/hoja . Ulipaswa kupingana na mada kwa kutoa hoja zako na sio kumdhihaki mtoa mada . Wanaume hii tabia hatuna maana hatuangalii nani kasema nini bali tunaangalia kilichosemwa tukipangue kwa hoja gani.
 
Nyie ndo wale mnakurupukaga . Ila mada pia ni nzito kuielewa kwa kichwa chepesi. Ila ata shuleni kuna watu walikua wanamaliza mtiani ndipo wanagundua swali la kwanza lilikua la lazima[emoji1][emoji1]. Ungesoma mada ukaelewa na kutafakari usinge andika ulicho andika
 
That is exactly my point kuwa Kuna watu hamuwezi kuona zaidi ya kilichoandikwa. Wewe huoni kuwa kilichoandikwa ni zaidi ya majibu ya kilichoandikwa, wala sitaki kuziita hoja. Mpaka Sasa hivi huoni kuwa nashughuluka na hicho unachokiita madam maana Mimi naona ni takataka. Hakuna hoja wala mada inayoweza kutoka kwa mtu mwoga na asiyejiamina halafu aendelee kujiita mwanamme. Yote aliyoyaandika sio representative ya wanaume waliokamilika. Hatuko hivyo wanaume tunaojua kuhandle wanawake. Hawatusumbui kabisa kwa sababu sisi sio waoga. My point is huyu mtu Kuna jambo baya limemfika au kaona mahali fulani mjinga mwingine limemfika na inawezekana ni kutokana na kutokuwa na uwezo wa kuhandle mwanamke hapo hapo badala ya kudeal na kilichotokea au huyo mwanamke kaona cha kufanya ni kumsubjugate kwa mtindo wa kuchochea watu wasionee huruma wanawake. Huyo na wewe wote ni washindwaji tu. Badilikeni
 
Wanawake huwajui wewe.

Unaweza kujinyima kila kitu kwa ajili yake,lakini akakuona huna maana yoyote.Ni watu wakatili sana hawajali hisia za mwanaume.Wanajua hisia za mwanaume zina misuli kama mwili wake.
 
Zamani nilikuwa na huruma na upendo sana kwa wanawake.Ila nimekoma maana huu ni upumbavu. Na mtu wa kwanza kuuona upumbavu huu ni yule binti unayempenda sana.
Hawa viumbe wanaweza kukufanya uwe mkatili sana.
 
Najua ukiwa boya ndipo utakaa na mwanamke salama.Ukiwa na akili kidogo za kujitambua,mwanamke ni kiumbe kigumu sana kuishi nacho.Hata wanaume wanaoishi nao,ni wale walioamua kuwa wababe tu.
Mwanamke hapendi mwanaume mstaarabu.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] mwanamke ni kiumbe complex ku deal nae unatakiwa kuwa na akili haswa! Ukiwa boya lazima usande...Enjoy love as it lasts!
 
Ninyi mnaojidai ma motivational speakers ni wapuuzi tu.

Pamoja na kujua kuwa ukatili wa mwanaume umesababishwa na mwanamke,bado mna jitoa akili kuhusu kubadilika kwa kizazi hiki cha wanawake.
Dawa ya moto ni moto.Hadi wajue kuwa kila kiumbe anastahili kuthaminiwa kama ulivyo asili yake.
 
It's amazing unasubmit kabisa kuwa wanaume wanafanya ukatili kwa sababu tu wanayo justification, eti umesababishwa na mwanamke. Bure kabisa nyie. Kweli wanawake wanawashinda namna hii mpaka mnakuja kulialia hapa JF kweli. Sasa unakubali vipi kuitwa kidune wakati unayoyaonyesha hapa ni completely ya kijike. Eti dawa ya moto ni moto. We ndo tayari hivyo ushapigwa moto. Wakati unajiandaa kupeleka moto kwa mwanamke unapigwa moto mwingine ili ukajipange upya. The cycle is very viscous. Unachekesha sana. This is fighing a losing battle buddy. Ndo maana nasema man up! Usije kulia kike kike hapa JF. Ushapigwa
 
Sio kweli.
Mimi nimekutana na bikra.Nilimpenda na kumthamini sana.Ila sijui mitandao ya kijamii ina nini!
Hana shukrani na ana dharau kubwa sana,ijapo bado anahitaji msaada wangu.

Sasa nimeamua na mimi nakuwa kauzu,afanye ajuavyo
Mkuu ikiwa ulikutana na mwanamke aliyetendwa na akawa ayesha kata tamaa lazima AKUENDESHE NA KUKUFANYA UWACHUKIE WOOOTE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…