Usimuonee huruma Mwanamke

Nakazia.
 
Kwa kweli. Kuna mwanamke alikua na shida ya ada mtoto wake kafukuzwa shule. Kaja kwangu machozi yanamtoka. Nikamkopesha 1M toka mwezi March. Mpaka leo mwaka unaisha ananipiga tu kalenda. Daaaa wanawake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ushatapeliwa.!
 
Una akili ndogo sana mzee. Sorry najua unaweza kuwa mzazi wangu.!
 
"...akishindwa kabisa utapigwa limbwata la uhakika...", nimekuelewa hapa. Je, kama mkeo ni mlokole atawezaje kukupiga limbwata?
 
Doh!!cna la kuchangia kwenye ili kwakuwa nimechelewa.
"Ucmuonee huruma mwanamke'Ni maneno niliyokuwa nayackia kila cku ila ckuyajua kabisa umuhim wake.
Ila sasa nimeyajua.Nami naludia kusema tena ucmuonee huruma mwanamke.
Kiukweli hakuna mtu alimwonea mwanamke huruma akatoka huko salama binafsi hata mimi ni mhanga na marafiki zangu na majirani zangu ni wahanga wa jambo hili
 
Mara nyingi kurudi kwake sio kwa ajili ya mapenzi, ila hali ishakua tete..... utafanywa kitega uchumi hadi ujute, mpaka unakuja kustuka ushachelewa na hua wapole kweli kweli anajishusha hasa
Na asilimia kubwa huwa hivyo hawarudi kwa ajili ya mapenzi. Huko walikokuwa unakuta kumewashinda
 
Mbona anamchelewesha sana, au huyo mama yake anatembea na mabodigadi
 
Niite mwizukulu babu😂😂😂
 
Wewe ni taahira
 
Dah....sijawahi kukutana na mwanamke aliyehitaji huruma kutoka kwangu.....wote wanahitaji pesa....lakini ngoja labda sijafika huko bado.....🤭
 
Wanawake asilimia kubwa tamaa mbele
Ndomana sahv asilimia kubwa wanaliwa
Jichoo

Ova
We jamaa nilipoona I'd yako tu nikahusianisha na comment ya jicho na kweli uka comment vile vile daahh [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…