Zee Korofi
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 1,604
- 1,430
Hata sijaambukizwa, usome na uelewe mada. Acha kuwa na kichwa kigumu kama kobokoNaona ushaambukizwa ugonjwa wa kuchukia wanawake... hapa unatafuta mwanamke mbongo wa ku attack, poleeeeeeeeeeeee hujanipata bado, byeee
Hata, usiwe na kichwa kigumu kama koboko. Badilika! Mtu akikushauri in +ve jua anakutakia mema. Uchukiwe kwa lipi?Naona ushaambukizwa ugonjwa wa kuchukia wanawake... hapa unatafuta mwanamke mbongo wa ku attack, poleeeeeeeeeeeee hujanipata bado, byeee
moja ,usiingilie ugomvi usiokuhusu,....pili,umeambukizwa, kututaja wanawake wa kibongo ni kuonyesha umeambukizwa,,,, .... hujataja wanawake wa nchi gani zaidi ya Bongo ambao hawapaswi kubadilika?!Hata sijaambukizwa, usome na uelewe mada. Acha kuwa na kichwa kigumu kama koboko
Hata, usiwe na kichwa kigumu kama koboko. Badilika! Mtu akikushauri in +ve jua anakutakia mema. Uchukiwe kwa lipi?
Kabisa Mkuu akikuacha usikubali kumpokea tenaNa asilimia kubwa huwa hivyo hawarudi kwa ajili ya mapenzi. Huko walikokuwa unakuta kumewashinda
Nakazia .isimuonee huruma mwanamke!!
Sasa mtu utampenda usimuonee huruma??? Hapa umeniacha kabisaBali mpende tuu inatosha
Sasa mtu utampenda usimuonee huruma??? Hapa umeniacha kabisa
Sawa potiThree W's involved
1.Women
2.Wine
3.Wars
Rome empire collapsed under three W's
Aisee! Hawa viumbe sijui huwa wanataka Nini jamani!Nina shemeji yangu anaishi nchi mojawapo inayopakana na Tz, yuko kwenye mchakato wa kutafuta mke wa kuoa.
Kwa vile huwa anakuja Tz mara kwa mara basi akakutana na binti mrembo mwenye mtoto mmoja. Binti akamuelezea shemeji jinsi alivyozalishwa na kutelekezwa. Shemeji akamuonea huruma akamwambia amuoe binti akamjibu kwa sasa ndoa bado bado wawe kwanza wachumba.
Shemeji akakubali , akawa anamhudumia yule binti ikiwemo kumpangia nyumba, kumfungulia biashara pamoja na mtoto wake kulipiwa ada shule ya binafsi.
Shemeji akamnunulia binti mrembo simu ya gharama akaweka na upelelezi wake..yaaah yaaah binti kumbe hajatulia shemeji akapata maovu yote ya binti ikiwemo ya binti akiwa kwa mganga akitoa mimba ya lijamaa lingine.
Shemeji akakata mawasiliano binti akaanza kusisitiza yuko tayari kuolewa, shemeji akaweka ushahidi wa maovu yake , ikawa mahusiano yameishia hapo huku binti akijuta.
Usimuonee hurumaaa!!
Kuna siku moja kwa kila mwanaume aliyesoma huu uzi,, kwa wakati wake, iwe kwake ama kwa ndugu yake, mchana au usiku na kwa namna moja ama nyingine atakuja kuelewa ROBERT HERIEL alikuwa anazungumza nini....
Silazimishi mtu kulikubali ninalosema ila kila mmoja kwa wakati wake ataelewa..
Nawasilisha.
[emoji3][emoji3][emoji3]
Siku ukienda kutibiwa ugonjwa hasa wa mifupa utaona jinsi madaktari watakavyokufanya wakiunyoosha mguu au Mkono. Hawatakuonea huruma wakupapo Dawa.
Unaweza ukawa unampenda mtu lakini usimuonee huruma.
Na unaweza kumhurumia mtu lakini usimpende.
Maisha magumu tuliyonayo unafikiri Mungu hatupendi?
Chukua time ..ushaambukizwa wewe, hapo unatafuta kunishambulia tu, wewe ndio usiwe na kichwa kama Koboko,usichukulie topics humu bila kuponder...Hata sijaambukizwa, usome na uelewe mada. Acha kuwa na kichwa kigumu kama koboko
Unataka upendwe kwa kipi wewe muuza nyapu wa Buza🌚yes, waangalie topic zako ulizozungumzia wanawake,jibu watakua nalo, wala usihofu!