Usimuonee huruma Mwanamke

heavy words mkuu.
 

#Usimuonee huruma mwanamke

Umenena vyema sana, hasa neno lako la zama hizi limejipambanua vilivyo kwenye uzi wako.
 
Nimekuelewa mno taikon na ubarikiwe kwa kutukumbusha jambo jema, nina mshikaji wangu mmoja mambo aliyofanyiwa na mwanamke mpaka leo huwa na wasi wasi sana na hawa viumbe.. wanawake wana roho mbaya sana

Binafsi nilishajifunza kwa msela wangu mmoja huyo nashukuru tu kwa ukumbusho huu mkuu
 
Zile sifa Zote ambazo ni Sifa Mbaya kwa mwanadamu zinajidhihirisha waziwazi kwa Mwanamke.
Hata kama atakuambia ni shetani amempitia usikubali ila amini nakuambia ni yeye huyo, Ndo asili yake...

Wanaume Roho mbaya hufundishwa na Mwanamke.

Mwanamke haitaji mwalimu wa kumfundisha Roho mbaya...ni asili yake
Mwanamke anahitaji Mwanaume ili amfundishe Roho njema...

Hawa watu waliokua wanawapamba wanawake kwamba ni Malaika walimiss the point

God, or an angel has never manifested Himself as a woman!!

Majini na Mashetani engi ni ya kike .
 
wewe ni mpuuzi sana.yawezekana una asili za kike.sisi wanaume hatuna ukatili wa namna hiyo.na hii ni tangu enzi za adamu na mpaka sasa.wanaume sisi ni wavumilivu,tunayabeba yote mabaya,machungu,kwa nini sisi ndio chanzo cha uhai.Hivyo sisi tunahuruma sana.sasa kwa hiyo tabia uliyo nayo wewe utakuwa unaasili ya udada ila hajielewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…