Usimuonee huruma Mwanamke

Dada, kuumizwa wewe hujawahi kuumizwa kabla hujakutana na huyo mumeo...????
Tatizo lako ni kubwa kuliko nilivyowahi kudhani. Mimi sina sababu ya kuongea lugha ya kukera au dharau.

Wishing you all the best. I'm out.
 
Tatizo lako ni kubwa kuliko nilivyowahi kudhani. Mimi sina sababu ya kuongea lugha ya kukera au dharau.

Wishing you all the best. I'm out.
Hahahahaha eti huna sababu ya kuongea lugha ya kukera au dharau, soma michango yako kwa makini uone unafiki wako!..

Hata mimi nadhani una matatizo makubwa kuliko nilivyodhani, nilijua ni uko confused tu kuona wanawake ni wabinafsi, kumbe na unafiki pia unao!..ndoa yako trouble , trouble , trouble ,hakuna mwanamke makini atakayekaa na mwanaume mnafiki, ama anayeona wanawake ni wabinafsi..no, never!..yes una matatizo mengi sana kwenye real life...

Usiniambie kuhusu kuniwish mimi the best, sipendi unafiki mimi, na kama unatoka kwenye mjadala huu toka tu ila dont intimidate me, hakuna mtu wa kuni bully my mind.
 

I know you admire wonderful and gentle men as I am. But in life you attract who you are. Upgrade yourself and you will be an attraction.

I give you the victory, celebrate. Shalom.
 
I know you admire wonderful and gentle men as I am. But in life you attract who you are. Upgrade yourself and you will be an attraction.

I give you the victory, celebrate. Shalom.
NO you are not husband material..and you will never be!, only stupid women (or women with other motives than love) will be with men of your kind. And No, im not 'available' and if i was i know exactly what i want/i should look for in a man. ( A man who appreciates his mom or at least has no low opinion of women). Lastly, i can see you are desperately trying to irritate me, if you are a looser in this debate its because you chose so, so this annoying game wont get you anywhere...Yes i am a winner..go hang!
 

Mbele nchale
Nyuma nchale[emoji23][emoji23]
Mama hiv umekula kwanza?
 
Tafsiri ni kwamba:kutokana na udhaifu wa Eva/Hawa nyoka alimdanganya.Kuishi nao kwa akili ni kujua kuanalyse kile mwanake anacho kuambia kabla ya kukitolea maamuzi sio kila kitu akuambiacho mwanamke ukimeze na kufanyia kazi bila assessment yoyote, itakula kwako mkuu.
 
Ndio wewe hapo, Nyeupe unaiita Nyeusu, kisa tu sijui kuna mdada gani huko alijeruhi hisia zako...worse unataka ulazimishe wanaume wenzio wote waone Nyeupe ni Nyeusi...
So kelele zote hizo ni kutaka Wanaume tusiamini mtazamo wa Mwanaume mwenzetu kuhusu nyie?
Oya weee sikia! Sisi tunabeba ushauri wa huyu mwamba ROBERT HERIEL kama ulivyo,na tunaishi nao.
Period!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…