Usimuonee huruma Mwanamke

Ni kweli wengine wameishia kuvunja ndoa zao sababu ya kuonea huruma wanawake,

Walianza kuonea huruma kwa kigezo ya u yatima, mara ujane , mwanamke akamtega akawa mchepuko, akatega mimba, mke akajua akaondoka ndoa ikabaki history
 
Ni kweli wengine wameishia kuvunja ndoa zao sababu ya kuonea huruma wanawake,

Walianza kuonea huruma kwa kigezo ya u yatima, mara ujane , mwanamke akamtega akawa mchepuko, akatega mimba, mke akajua akaondoka ndoa ikabaki history

Huruma kwenye maisha ni kitanzi cha waliowengi
 
Hata watumishi wa Mungu wengi wanaanguka kwenye zinaa sababu kubwa ni kuanza kuonea huruma wanawake.

Na mwanamke sio wakuchukulia poa hata hususa hawa wakukutana nao mjini!

Mjini Shule!

Wengi wamejaa hila moyoni na uovu.

Wako na wanawake makahaba wazee wanawapa mbinu za kuwaingiza mkenge wanaume!

Usizani una deal nae peke yake nyuma yake kuna walimu na mama yake ana m-coach juu ya kuku-win Mwanaume [emoji108][emoji108]

Ni wanaume wachache sana wanaojielewa ndio wanaaeza kuepuka kuingizwa mkenge!

Hasa wale ambao si walevi na wanakataa kurogwa na kuharibiwa familia!
 
Ni kama vyakula vingine tu jamani...
Si vizuri kukisema chakula !??
 
Kea
kwa uzi huu nimeku follow kabisa mtukufu wa fasihi
 
Nailed it my brother!
 
hata sisi wanaume tuna machafu yetu upande mwingine wa shillingi.Unakuta mtu ana watoto watano wote kila mmoja ana mama yake na hatunzi watoto anazaa kama sungura huyu utamuitaje? Umalaya ni tabia ya mtu hata wanaume ni malaya
 
Mama yako wakati unazaliwa angebana yale mapaja yake usingekuwepo ukaandika mada hii hapa shukuru sana mungu wako.
Mungu alivyotuumba ametuumba tofauti kati ya wanawake na wanaume kimaumbile na hata kitabia kwa sababu zake maalum.
Tukija kwenye imani
1.Angalia issue ya Adam na Hawa
2.Angalia issue ya Ibrahim,Sara na yule kijakazi
3.Angalia issue ya Esau na Yakobo mmoja alikuwa muwindaji ambaye ni Esau na mmoja alikuwa ni mkaa nyumbani tu ambaye ni Yakobo.Wakati baba yao anatoa baraka mama yake Yakobo akatengeneza dili akamuambia mwanaye avae ngozi ya kondoo aonekane ana manyoya mzee Baraka zote kamimina kwa asiye husika yule muhusika kaja na windo lake ampe baba yake kakuta issue imeshamalizika baraka keshatoa matokeo yake baba badala ya kumpa Baraka akamlaani.Dill la mwanamke hilo
4.Angalia issue ya Delila na Samsoni

Mungu ana makusudi kwa kila jambo na ndio maana tunaambiwa tuishi nao kwa akili ila sio kuwaona sio viumbe wa kuamini kwa asilimia 100%.Mwanamke akiamua kukurudisha mbinguni kwa baba yako either kwa siku hiyo hiyo au hata kama ni taratibu labda mwaka mmoja ni kitu cha sekunde.

Narudia tena tusiwasakame kiasi hiki kumbuka ndio walitubeba miezi tisa.
Nahisi mtoa mada kuna mahali amepata pigo flani pole sana
 
NAFIKILI WAKATI MWALIMU KIPOFU ANAFUNDISHA WANAWAKE NA WEWE ULIKUWEPO!!

Kakutenda mwanamke wako unataka na sisi tusiwe na huruma na wanawake mhhhhh

Ushakuwa Professor wa wanawake heee°°
 
NAFIKILI WAKATI MWALIMU KIPOFU ANAFUNDISHA WANAWAKE NA WEWE ULIKUWEPO!!

Kakutenda mwanamke wako unataka na sisi tusiwe na huruma na wanawake mhhhhh

Ushakuwa Professor wa wanawake heee°°
Kweli kabisa masaibu yake asituambukize na sisi
Huwezi shawishi watu wachukie mtu au kundi la watu kutona na mawazo yake muflisi
Halafu ajabu alikotokea ni kule kule kwa mwanamke
mimi binafsi mahali pa kumsaidia mwanamke au mwanamme naanza na mwanamke kwanza maana ni viumbe dhaifu kisha ndio nitarudi kwa mwanaume mwenzangu najua atafanya kazi ngumu hata kupiga debe atapa hela siio mwanamke.
Hata ukiwa na watoto binti na wa kiume mimi wakike nampa special treatment wa kiume ni namba mbili maana anaweza fanya kazi ngumu apate hela.
Kwanza matoto mengine ya kiume ni shida tupu bangi na mengine ndio hawa panya road
 
NAFIKILI WAKATI MWALIMU KIPOFU ANAFUNDISHA WANAWAKE NA WEWE ULIKUWEPO!!

Kakutenda mwanamke wako unataka na sisi tusiwe na huruma na wanawake mhhhhh

Ushakuwa Professor wa wanawake heee°°

Usidhani kila mtu anakili ndogo.
Kam hunielewi Kwa sasa, jipe muda utanielewa. Ninyi wengine mnanielewa Kwa kuchelewa au mpaka mpigwe tukio.
 

Mimi ninachoongea ni ukweli.
Simsakami yeyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…