Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #601
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli wengine wameishia kuvunja ndoa zao sababu ya kuonea huruma wanawake,
Walianza kuonea huruma kwa kigezo ya u yatima, mara ujane , mwanamke akamtega akawa mchepuko, akatega mimba, mke akajua akaondoka ndoa ikabaki history
KeaUSIMUONEE HURUMA MWANAMKE.
Kwa Mkono wa Robert Heriel.
Wangestahili huruma lakini si sasa.
Wangestahili kupendwa lakini si Zama hizi.
Wangestahili kujaliwa na kuheshimiwa lakini hiyo ingefaa Zama zile sio Zama hizi.
Hata zamani walipokuwa wanasifa za wanawake hawakuonewa huruma sembuse sasa ambapo wamepoteza sifa ya uanamke Kwa 90%. Sasa hivi ndio hawapaswi kuonewa huruma hata kidogo.
Ni Mama zetu, shangazi zetu, wake zetu, dada na Bibi zetu lakini kamwe usimuonee mwanamke huruma hasa katika Zama hizi. Ni kitanzi na kaburi lako mwenyewe.
Siwafundishi roho mbaya Kwa maana sio asili yetu wanaume. Sisi ni watu wema tangu kale mpaka pale huruma mbaya ilipotuingia na hapo ndipo ubaya ukatuingia.
Jitahidi kuwa mbinafsi Kwa kadiri utakavyoweza ili kujifurahisha wewe mwenyewe kuliko kuhangaika kumfurahisha mwanamke. Haitakusaidia popote pale zaidi ya kujiumiza na kuonekana kazi bure.
Usimuonee huruma Mwanamke hata Kama macho yako na akili yako vinaona anastahili kuonewa huruma.
Pengine Mama Yako tuu angalau huyo waweza mkumbuka kidogo lakini waliobaki cheza nao Kwa akili nyingi huruma sifuri.
Huruma yako iwe na maslahi mapana. Apate kumi upate Mia. Apate Mia upate elfu. Usitumie moyo wako, tumia akili.
Usiwe na huruma Kwa maana wanawake hupenda kuonewa huruma Kwa wale watu wasiowapenda, huziweka nyuso zao za huruma ili kukulaghai na kuziteka hisia zako, usiwaangalie usoni wala usisikie sauti zao pindi Wazungumzapo.
Walakini usimsahau mke WA ujana wako ukamtendee wema ikiwa ulimchukua akiwa means mwali bikra Safi. Huyo na Mama yako walau unaweza wapa huruma yako kidogo hata Kama wangekutenda makosa kadha wa kadha.
Lakini kama hawana sifa hizo kamwe huruma yako isiwe karibu na Mwanamke.
Pia usitake huruma zozote kutoka Kwa yeyote, tena akiwa mwanamke ndio usizitafute huruma zake.
Sina la ziada. Mwaka mpya mwema
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Makanya, Kilimanjaro
kwa uzi huu nimeku follow kabisa mtukufu wa fasihiUSIMUONEE HURUMA MWANAMKE.

USIMUONEE HURUMA MWANAMKE.

Kea
kwa uzi huu nimeku follow kabisa mtukufu wa fasihi
Kwa jinsi ulivoitendea haki fasihi Kupitia nyuzi zako nyingi we pokea tu utukufu wake mzee!Kumradhi Mkuu.
Niite Mtibeli au Taikon wa Fasihi, sijafika level ya Mtukufu😀😀
Nailed it my brother!👉🏾 As a man pambana mwenyewe katika kila situation, usitegemee msaada kutoka kwa yoyote labda msaada ujitokeze wenyewe
👉🏾Do no favor to anyone
👉🏾Kuwa wa mwisho katika maamuzi yanayokuhusu
👉🏾Kuwa tayari kumpoteza mwanamke yoyote
👉🏾Usilaumu chochote kinachokutokea, funga mkanda songa mbele
Naomba kwa leo niishie hapa
Ngoja nije na kisa changu
hata sisi wanaume tuna machafu yetu upande mwingine wa shillingi.Unakuta mtu ana watoto watano wote kila mmoja ana mama yake na hatunzi watoto anazaa kama sungura huyu utamuitaje? Umalaya ni tabia ya mtu hata wanaume ni malayaNina shemeji yangu anaishi nchi mojawapo inayopakana na Tz, yuko kwenye mchakato wa kutafuta mke wa kuoa.
Kwa vile huwa anakuja Tz mara kwa mara basi akakutana na binti mrembo mwenye mtoto mmoja. Binti akamuelezea shemeji jinsi alivyozalishwa na kutelekezwa. Shemeji akamuonea huruma akamwambia amuoe binti akamjibu kwa sasa ndoa bado bado wawe kwanza wachumba.
Shemeji akakubali , akawa anamhudumia yule binti ikiwemo kumpangia nyumba, kumfungulia biashara pamoja na mtoto wake kulipiwa ada shule ya binafsi.
Shemeji akamnunulia binti mrembo simu ya gharama akaweka na upelelezi wake..yaaah yaaah binti kumbe hajatulia shemeji akapata maovu yote ya binti ikiwemo ya binti akiwa kwa mganga akitoa mimba ya lijamaa lingine.
Shemeji akakata mawasiliano binti akaanza kusisitiza yuko tayari kuolewa, shemeji akaweka ushahidi wa maovu yake , ikawa mahusiano yameishia hapo huku binti akijuta.
Usimuonee hurumaaa!!
Hard work beats the talent, when talent does not work hard''TUISHI NAO KWA AKILI INATOSHA
DoooohWanawake asilimia kubwa tamaa mbele
Ndomana sahv asilimia kubwa wanaliwa
Jichoo
Ova
Kweli mwanawane yaani kuoewa jicho siku hizi mtelezo kabisaWanawake asilimia kubwa tamaa mbele
Ndomana sahv asilimia kubwa wanaliwa
Jichoo
Ova
Kweli kabisa masaibu yake asituambukize na sisiNAFIKILI WAKATI MWALIMU KIPOFU ANAFUNDISHA WANAWAKE NA WEWE ULIKUWEPO!!
Kakutenda mwanamke wako unataka na sisi tusiwe na huruma na wanawake mhhhhh
Ushakuwa Professor wa wanawake heee°°
NAFIKILI WAKATI MWALIMU KIPOFU ANAFUNDISHA WANAWAKE NA WEWE ULIKUWEPO!!
Kakutenda mwanamke wako unataka na sisi tusiwe na huruma na wanawake mhhhhh
Ushakuwa Professor wa wanawake heee°°
Mama yako wakati unazaliwa angebana yale mapaja yake usingekuwepo ukaandika mada hii hapa shukuru sana mungu wako.
Mungu alivyotuumba ametuumba tofauti kati ya wanawake na wanaume kimaumbile na hata kitabia kwa sababu zake maalum.
Tukija kwenye imani
1.Angalia issue ya Adam na Hawa
2.Angalia issue ya Ibrahim,Sara na yule kijakazi
3.Angalia issue ya Esau na Yakobo mmoja alikuwa muwindaji ambaye ni Esau na mmoja alikuwa ni mkaa nyumbani tu ambaye ni Yakobo.Wakati baba yao anatoa baraka mama yake Yakobo akatengeneza dili akamuambia mwanaye avae ngozi ya kondoo aonekane ana manyoya mzee Baraka zote kamimina kwa asiye husika yule muhusika kaja na windo lake ampe baba yake kakuta issue imeshamalizika baraka keshatoa matokeo yake baba badala ya kumpa Baraka akamlaani.Dill la mwanamke hilo
4.Angalia issue ya Delila na Samsoni
Mungu ana makusudi kwa kila jambo na ndio maana tunaambiwa tuishi nao kwa akili ila sio kuwaona sio viumbe wa kuamini kwa asilimia 100%.Mwanamke akiamua kukurudisha mbinguni kwa baba yako either kwa siku hiyo hiyo au hata kama ni taratibu labda mwaka mmoja ni kitu cha sekunde.
Narudia tena tusiwasakame kiasi hiki kumbuka ndio walitubeba miezi tisa.
Nahisi mtoa mada kuna mahali amepata pigo flani pole sana