Usimuonee huruma Mwanamke

Mkuu ROBERT HERIEL una akili nyingi sana, nakupa pongezi kwa post zako mbalimbali maana unaziandaa kwa akili kubwa sana.
 
Wanawake wanaojielewa sikuhizi ni sawa na 5% ambao wanaponzwa na 95% ya wapuuzi! Poleni sana ila population sample inawacost!

95% women are hoes ni ukweli mchungu ila that seems true...Fatilia tu kwa utaratibu utagundua jinsi walivyooza, kama mtu atarubuniwa kwa pesa ajichomeke chupa na kujirekodi ni mtu huyo?

Ikumbukwe obvious alikuwa ana kibwana chake ambacho walikuwa katika serious relationship terms constantly wanawasiliana ila behind his back demu ana engage kufanya mambo ya hatari namna hio.
 
MWANAMKE :

1) Aliungana na Shetani kumfanya Adam amkosee Mungu muumbaji wake.

2) Alitumiwa na shetani kuchunguza siri ya Samson na mwishowe akamsaliti, Samson akatobolewa macho na kuteswa sana na Wafilisti

3) Aliungana na Shetani kumdharau Ayubu na kumwambia amwache Mungu wake kabisa.

4) Aliambiwa na Mungu asigeuke nyuma, akageuka na kuwa jiwe la chumvi.

NB: Hata leo ugomvi mkubwa wa Mwanaume na Mungu unasababishwa na Mwanamke.

Tuishi nao huku tukiwafahamu walivyo
 
kwendaaaaa
 
Mleta mada ni mwanaume nimekufuatilia sana Unaandika sana kuhusu wanawake!!! Sio wanaume wenzio!!! Kulikoni ?

Wataalamu wa saikolojia na utabibu husema kuwa wanaume wengi wanaopenda sana kuvaa kiike,au kuwasema sana wanawake wengi huwa ni mashoga Kwa mujibu wa tafiti zao.Sijui kwa upande wako wewe
 
Wewe huoni tu hata SSH anavyoandamwa, dunia hii tembeeni taratibu.

On a serious note, utandawazi umewabadilisha sana wanawake. Tusipoangalia wanaume tutakuwa tunakufa na miaka 45 wallah, ngoja tu tupeane madini ya jinsi ya kuishi na ninyi.
 
Kuna demu mmoja alikuwa analia& kujitia vihuruma kwangu kuwa hana hela ya Krismas,alisema atapika zake wali maharage siku ipite.Sikutuma hela nikamuahidi kumpelekea zawadi kesho geto kwake,siku ya boxing day jion nikafunga safari kumpelekea zawadi zake,nilijiongeza kidogo nikanunua zawadi neutral,anaweza kuzitumia hata mwanaume.Nikiwa njiani nlimtumia sms kuwa naenda kwake,nilipofika kwake nilimpigia kama mara mbili lakini hakupokea,kwa kuwa tulikuwa tunaishi karibu niliamua kujongea zangu geto kwangu nikiwa nimemaindi,zile zawadi nikajizawadia.Baadaye demu akanipigia akilalamikia zawadi zake na kusema kwamba muda nilipopiga alikuwa saluni.Niliamua kupotezea nikamwambia afate zawadi zake kwangu,akasema boy friend wake kamkataza kwenda mageto ya watu usiku.Nikamdanganya nina laki mbili cash mkononi kwa ajili yake,alikuja mbio nikala mzigo afu zile zawadi nilizificha,niliendea pedi za buku dukani,nikampiga swaga alipomaindi akazikubali akasepa.
Hawa wanawake unatakiwa kucheza Kama Pele.Hata ajilize vipi unatakiwa kutumia akili[emoji108]
 


Kuweni wanawake kamili sio mashetani katika motherboard ya kike
 
UKIONA HIVI UJUE KESHA UMIZWA MTU HUKO
 
Ndio maana kile kitabu mimi nimeacha kukiamini kabisa!? Siwezi kusoma huku naambiwa hivi halafu mbeleni kinakuja kujikengeusha chenyewe.
 
Mnavyowananga wanawake utadhan nyie n perfect human being in each and every angle of you,,, hamkosei nyie [emoji2376] hamna madhaifu ?
Kwann wakiona kibanzi jichon mwa jiran au ndugu yako na hapo hapo huitoi boriti iliyoko jichon mwako ?
Acheni hizo bhn [emoji57]
 
Me nimekuelewa, upo sahihi [emoji122]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…