Usimuonee huruma Mwanamke

Usimuonee huruma Mwanamke

Chukua time, next time, acha kuleta sumu zako humu basing on your subjective experiences, kama ume surrender kwenye huu mjadala then ni kivyako huko, dont intimidate me, nitawafunisha wanangu upendo kujali wengine..sababu nataka wawe rounded persons wasione watu wengine ni mazimwi!..bye sucker!

😀😀

Usisahau kuwafundisha utofauti wa upendo na huruma.

Wasijewakaolewa au kuoa Kwa kuhurumiwa😂😂
Badala ya kuolewa au kuoa Kwa Kupenda😉
 
Huyo rebeca ni zao la ufeministi. Mtapata nae tabu na atawapotezea tu muda wenu mnapoendelea kujadiliana nae.Hayupo hapa kwa lengo la kuelewa ila yupo kwa lengo la kubishana.

Cha msingi ni kuwa ujumbe huu wa Robert umetufikia wanaume wengi na tumeshaanza kuufanyia kazi na kwa kweli tunaanza kuona matokeo na matunda yake.

... cheap way out ni kuwaita watu Feminists, afadhali hata angesema Mwingine/ID nyingine...sio wewe uliyekuwa unaandika mashudu yako kule kwenye topic ya mkuu @Unpaid Seller???
 
Nina shemeji yangu anaishi nchi mojawapo inayopakana na Tz, yuko kwenye mchakato wa kutafuta mke wa kuoa.
Kwa vile huwa anakuja Tz mara kwa mara basi akakutana na binti mrembo mwenye mtoto mmoja. Binti akamuelezea shemeji jinsi alivyozalishwa na kutelekezwa. Shemeji akamuonea huruma akamwambia amuoe binti akamjibu kwa sasa ndoa bado bado wawe kwanza wachumba.
Shemeji akakubali , akawa anamhudumia yule binti ikiwemo kumpangia nyumba, kumfungulia biashara pamoja na mtoto wake kulipiwa ada shule ya binafsi.

Shemeji akamnunulia binti mrembo simu ya gharama akaweka na upelelezi wake..yaaah yaaah binti kumbe hajatulia shemeji akapata maovu yote ya binti ikiwemo ya binti akiwa kwa mganga akitoa mimba ya lijamaa lingine.

Shemeji akakata mawasiliano binti akaanza kusisitiza yuko tayari kuolewa, shemeji akaweka ushahidi wa maovu yake , ikawa mahusiano yameishia hapo huku binti akijuta.

Usimuonee hurumaaa!!
Hi comment inathibitisha maneno ya mtoa mada kuwa "Usiwe na huruma Kwa maana wanawake hupenda kuonewa huruma Kwa wale watu wasiowapenda"
Hakika mwanamke anaetaka kuonewa huruma na mwanaume tambua fika kuwa huyo mwanamke hana mapenzi na mwanaume.
 
😀😀

Usisahau kuwafundisha utofauti wa upendo na huruma.

Wasijewakaolewa au kuoa Kwa kuhurumiwa😂😂
Badala ya kuolewa au kuoa Kwa Kupenda😉
Nishakwambia,upendo na huruma sio kitu cha kwenda ku dig maktaba, hata mtoto aliyezaliwa leo anajua ..hivi vitu naturally...

Yaani Uoe kwa kumpenda mtu halafu mtu huyo huyo useme humuhurumiii?!..haimake sense...
 
... cheap way out ni kuwaita watu Feminists, afadhali hata angesema Mwingine/ID nyingine...sio wewe uliyekuwa unaandika mashudu yako kule kwenye topic ya mkuu @Unpaid Seller???
Hahaaaaaa!!!! Imekuchoma hiyo!!! Yaani mambo unayoyaandika huwa yanachosha hadi macho na ubongo kuyasoma!! . Wanawake dizaini yako huwa ni ngumu sana kuolewa na kudumu kwenye ndoa kutokana na ubishi na ujuaji.
 
Nishakwambia,upendo na huruma sio kitu cha kwenda ku dig maktaba, hata mtoto aliyezaliwa leo anajua ..hivi vitu naturally...

Yaani Uoe kwa kumpenda mtu halafu mtu huyo huyo useme humuhurumiii?!..haimake sense...

Unataka uolewe Kwa kupendwa au kuonewa huruma?
 
Walishasema mwanamke Ni chombo Cha starehe, Sasa hizo huruma tunajitakia wenyewe wanaume.
 
😀😀😀

Yaani kumheshimu mtu na kumtii mtu iwe huruma😂😂 Hii Kali Dadaangu.

Mimi nafikiri ukanywe maji, ukaoge upumzike kisha jioni tutaendelea na mjadala.

Kwa hiyo ukimpa mtu pole Kwa akili yako hiyo ndio huruma?

Elewa mambo haya, wajibu, huruma na Upendo.

Zingatia Huruma ina-some Features za Upendo Kama kujali na kuthamini Ila mara nyingi hutokea Kwa Wahanga, wanaohitaji msaada au Msamaha.

Huruma inahusu zaidi Msamaha/forgiveness

Ndio maana nikakuambia pumzika kwanza

hahahahahahahaahha unaniambia mimi sielewi, inaelekea una comprehension na wewe inasoma -VE....kama humuonei huruma mtu, au humpendi mtu unampa pole ya nini????? au kama pole sio sign ya huruma, mtu akikupa Nyoko umetoka kazini utai interpret vipi???..jaribu kuweka kwenye mizani, Pole na Nyoko baada ya kazini, halafu utajua lipi linamaanisha huruma/upendo...

Usinifundishe mimi kuhusu wajibu,upendo na huruma, nachojua mimi Upendo na Huruma ni kitu hicho hicho na wajibu ni kitu tofauti,..wewe ndio ujifunze zaidi kuhusu, hivi vitu maana vinakuchanganya....na kuchanganyikiwa kwako unataka uwachanganye wengine..

Unaandika mashudu, huruma ina features za upendo halafu bado unasema hivi ni vitu tofauti...

Huruma ni Forgiveness yes i agree,ila huwezi ukamforgive mtu kama huna Upendo...

Usinipangie cha kufanya, kakojoe ukalale,ukiamka ukitaka tuendelee sawa,,,usipotaka pia sawa,...kazi uliyotumwa imebounce,na ukijaribu kuiendeleza..ita bounce pia!
 
Hahaaaaaa!!!! Imekuchoma hiyo!!! Yaani mambo unayoyaandika huwa yanachosha hadi macho na ubongo kuyasoma!! . Wanawake dizaini yako huwa ni ngumu sana kuolewa na kudumu kwenye ndoa kutokana na ubishi na ujuaji.
wewe je unayetukana na kuwaita watu Feminists,maneno yako ndio yako interesting?!....leo hutumii ..' Maandiko' kuprove dizaini yangu hatudumu kwenye ndoa..hahahahahahahahahahahah.....
 
hahahahahahahaahha unaniambia mimi sielewi, inaelekea una comprehension na wewe inasoma -VE....kama humuonei huruma mtu, au humpendi mtu unampa pole ya nini????? au kama pole sio sign ya huruma, mtu akikupa Nyoko umetoka kazini utai interpret vipi???..jaribu kuweka kwenye mizani, Pole na Nyoko baada ya kazini, halafu utajua lipi linamaanisha huruma/upendo...

Usinifundishe mimi kuhusu wajibu,upendo na huruma, nachojua mimi Upendo na Huruma ni kitu hicho hicho na wajibu ni kitu tofauti,..wewe ndio ujifunze zaidi kuhusu, hivi vitu maana vinakuchanganya....na kuchanganyikiwa kwako unataka uwachanganye wengine..

Unaandika mashudu, huruma ina features za upendo halafu bado unasema hivi ni vitu tofauti...

Huruma ni Forgiveness yes i agree,ila huwezi ukamforgive mtu kama huna Upendo...

Usinipangie cha kufanya, kakojoe ukalale,ukiamka ukitaka tuendelee sawa,,,usipotaka pia sawa,...kazi uliyotumwa imebounce,na ukijaribu kuiendeleza..ita bounce pia!

Unafikiri nipo hapa kumfundisha mbwa Mzee Kubweka?
 
wewe je unayetukana na kuwaita watu Feminists,maneno yako ndio yako interesting?!....leo hutumii ..' Maandiko' kuprove dizaini yangu hatudumu kwenye ndoa..hahahahahahahahahahahah.....

Methali 21:19​

"Afadhali kuishi jangwani, kuliko kukaa na mwanamke mgomvi na msumbufu."

Yaani hapo tunaambiwa ni bora ya dhiki ya kuishi jangwani pasipo na maji ,kivuli wala chakula kuliko kuishi na mwanamke mbishi,mbinafsi,mjuaji ,asiye na shukrani.

Nampa pole sana mwanaume atakaekubali kukuoa /kuishi na wewe!!
 
Tatizo unauliza vitu vya kitoto.

Sasa Kama hujui kuwa Upendo na huruma ni vitu viwili tofauti utaniuliza nini kwenye mada hii.

Unachanganya upendo na huruma wakati ni vitu viwili tofauti.

Nimekuambia Upendo ni haki/lazima.
Huruma ni Neema/hiyari.

Unaweza kumhurumia mtu hata kama humpendi
Mnhhhh eti unaweza kumuhurumia mtu hata kama humpendi....kabisaaa...???..how...??????

again, how?, how???.

stop this Upendo ni haki, huruma ni Neema,,,,no matter how you try to diffrentiate.Upendo na Huruma .hiki ni kitu kimoja....labda utoe kwa mifano, kwa faida ya Rebeca na wote wanaofatilia mjadala huu, unamaanisha nini unaposema Upendo ni Haki na Huruma ni Neema.....
 
Kufanya wajibu wako ni kumuonea mtu huruma?😀😀😀

Ni Sawa mumeo anakuhudumia Kwa kukuvisha nguo nzuri ATI aseme anakuonea huruma,

Ndio maana nikakuambia Tafuta maana ya huruma ndio uje hapa.
Hiyo inaitwa Kujali na kuthamini.
Mwambie bidada je mwanaume anapo provide kwa mwanamke ikiwa huyo mwanamke pia ana kazi yake na maisha yake inakuaje ni huruma?
 
Methali 21:19​

"Afadhali kuishi jangwani, kuliko kukaa na mwanamke mgomvi na msumbufu."

Yaani hapo tunaambiwa ni bora ya dhiki ya kuishi jangwani pasipo na maji ,kivuli wala chakula kuliko kuishi na mwanamke mbishi,mbinafsi,mjuaji ,asiye na shukrani.

Hahahahahhaahhha, nimekwambia tumia Maandiko ku prove mimi Rebecca siwezi kudumu kwenye ndoa,.....comprehension -VE inasoma, ....

Nakusubiri...
 
Mnhhhh eti unaweza kumuhurumia mtu hata kama humpendi....kabisaaa...???..how...??????

again, how?, how???.

stop this Upendo ni haki, huruma ni Neema,,,,no matter how you try to diffrentiate.Upendo na Huruma .hiki ni kitu kimoja....labda utoe kwa mifano, kwa faida ya Rebeca na wote wanaofatilia mjadala huu, unamaanisha nini unaposema Upendo ni Haki na Huruma ni Neema.....

Sikatai mtu akiamua kumuita Paka kuwa ni Simba.
 
Back
Top Bottom