Usimwamini Mwanamke wako hata kama ameshika dini. Maumivu niliyopata leo sitayasahau kamwe


KWA ulimwengu wa SAsa ulivyopotoka kimaadili ingefaa mabint wote wawe brainwashed kwa kuingizwa format za kilokole kwenye brain zao Ili wawe walezi bora
 
Duuuuhh
Wakulaumiwa ni wewe.
Huyo demu mpaka anakublock ni uboya wako.
Mimi kabla hujaniacha nitakuacha moja matata sana mpaka ukonde
 
Piga nyeto achana naye block huyo mtu then jifunze kuandika vizuri nimeteseka sana kusoma
 
Sasa hapo Cha kusikitika kipi mbona vitu vya kawaida tu vinatokea, au wote nyie mlikuwa mnadate mkiwa watoto ebu fanya Mambo mengine mapenzi yapo tu
 
Mkuu naona siku hizi mambo safiii tangu upate kitendo hapo tra mtwara
Unazunguka tuu na boti kutafuta magendo
Daaah haya maisha!!!!
Ushauri wangu kuwa makin jamaaa wanakufatilia sana
Masuala ya kununua gari acha kwanza
 
Mnadate wote wajinga, mwanamke hakupendi pia hana akili, ukiachana na kukosa elimu.

Nyongeza: Kwa uandishi wako, ulistahili kuachwa.
Hah dhambi! mtu akiwa na uandishi mbaya hastahili kupendwa?
 
Yaani unapewa once a month for three good years na upo tu wala hutafuti backup?

7.97 Billion people in the world as per September 2022 and you're getting bent out of shape by one idiot!!

Ana kipi cha mno huyo binti?
 
Duuh kumbe kuna raia wanateseka ivi
Una kasoro gani Mr tuangalie namna gani yakukusaidia
 
Wanawake wa sasa sio wa kupenda kijana wangu, Pole sana.
 
Hayo yalikuwa mapenzi au kero?Jipigepige kifua huwa unajiambia "mimi ni mjinga,mimi ni mjinga namba moja".
 
niliowapuuza kipimdi nipo nae nikisema niwataje apa sitowamaliza kuna mwingine nae anaitwa rapahaela kanipuuza kabisa na baadh ya girls washaniblock siwez walaumu sababu kipindi nipo nahuyu dada niliwatesa wengi sikuwajali hata
Malipo ya kumwaga chozi la mtu we mtoa mada kuna usemi kwamba mtenda akitendewa hujihisi kaonewa.
Huyo Super woman popote alipo nampa tano.
 
Kwa huo uandishi naona Yuko sahihi kufanya uamuzi huo mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…