Usimwamini Mwanamke wako hata kama ameshika dini. Maumivu niliyopata leo sitayasahau kamwe

Nimesoma nusu tu, nimeona bado hujakomaa, unapelekeshwaje na mwanamke kiasi hicho kwa miaka mitatu. Uanaume wako ulikua wapi. Ila pole hatupo sawa.
 
Dogo meza imeshapinduliwa hapo, kitendo cha kukuambia umechelewa kufanya maamuzi unatakiwa ujue kuna kidume kimeshakuwahi muda mrefu.

Move On!
yaweza kuwa kweli ila siwez amin hilo kilahis
 
Nimesoma nusu tu, nimeona bado hujakomaa, unapelekeshwaje na mwanamke kiasi hicho kwa miaka mitatu. Uanaume wako ulikua wapi. Ila pole hatupo sawa.
soma chini kuna update nimeelezea kwann nilidumu nae
 
Mdogo wangu , pole kwa hayo
Ila jifunze kukubali nyakati zilizo njema na zenye kuumiza

Huyo amekuacha na hakukupenda , endelea na maisha yako jitafute upya katika mahusiano , jiwekeze katika maisha muda mzuri unakuja.

Huyo muache aende usirudi tena huko utaumia zaidi .

Alafu huyo ameshika dini gani unayoisema
Ukweli ni kuwa ni mdhambi mmoja kama mimi na wewe.
 
Kubali kuwa umeachwa endelea na maisha mengine au ni mgeni kwenye mapenzi? Milima na mashimo kwenye mahusiano ni kawaida sana. Pole lakini.
nashukuru mdau soma update kisha nipe ushauri
 
Mwanamke anayekupangia sio wako, ulitakiwa kujua hili tangu mwanzo. Ungekuwa na backup usingeumia.
 
Hizo nguvu inazotumia kumrudisha mapenzini uyo kichomi zielekeze katika kutafuta pesa mkuu achana na mambo ya ndoa
 
Hivi mwanaume unapataje wasaa wa kuumia unapoachwa na ili hali wanawake ni wengi mno mtaani?!
 
Una umri gn? Kwa maelezo yako nadhani ww ni kijana tu kama mimi hatuna tofauti sna ya umri.. ila kwa maelezo yako nakushangaa sana nakuamua kukupuuza tu ukome..

Hivi unamuamini vp mwanamke mpka unafikia hatua hiyo ya kuja kulalamika na hili gazeti!!sijafikisha umri wa miaka 30 lkn siwezi kuteswa na mwanamke ktk maisha yangu.. mwanaume unapaswa kumfanya mwanamke awe na hofu ya kukupoteza ww na sio ww ndo uwe na hofu hiyo.

Mimi na mpenz wngu tuna miaka 4, anajua kila kitu kuhusu mimi na baada ya kuzoeana siku 1 alizingua nikamchana mimi sipendi hiki na hiki na sijali kuachana na ww hata kama nakupenda.. binafsi nampenda sana na nina mpango wa kumuoa ila mimi sijali kuhusu kuachana nae nikiona yupo tofauti na ninavyotaka mimi.

Mwisho niseme ww ni mshamba wa mapenz, tumeshatoka huko mapenz hayatusumbui.. kwanza mwanume unakosaje michepuko hata miwili ya kuzugia? Ushamba wako mwenyewe ni halali angekuchapa hata makofi
 
Dunia hii unapaswa usiweke malengo na mwanamke yani unatakiwa uwe na malengo yako tu
Zama zimebadilika
Nashangaa hata mimi mwanaume kuwa na mipango ya malengo na mwanamke ni ujinga na upuuzi mkhbwa sna
 
Dogo kubali mapenzi yameisha ukiendelea kushupaza shingo itakua tatizo baada ya tatizo.Boko baada ya boko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…