Usimwamini mwanaume ambaye hampendi mke wake

Marcy

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2013
Posts
2,430
Reaction score
5,910
Kuna Baadhi ya wanawake wana date na wanaume waliooa
Usimwamini mwanaume ambaye hampendi mke wake
Hajawahi kuku valisha hata hiyo pete na anakuambia anakupenda
Unafikiri anakupenda wew?
Kama aliyemvalisha pete anam cheat wew kwake utakuwa na thaman?? usiwe mjinga
Anakuambia anakupenda na huku ana mke aliye mvisha pete ya thaman?!!
Iko siku nawe atakubwaga
Wanaume wa namna hii
Wanajichukia na ndio maana hawawezi kumpenda mtu yoyote
 
Ila Kuna wanawake wajinga jamani duniani....akili zao zimejaa matope
 
Acha kuwa danganya wenzako wewe
 
 

Attachments

  • Screenshot_2024-10-19-14-50-23-99.jpg
    24.7 KB · Views: 6
Kibao kimebadilika leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…