Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
First time nasoma thread yako da Marcy.Kuna Baadhi ya wanawake wana date na wanaume waliooa
Usimwamini mwanaume ambaye hampendi mke wake
Hajawahi kuku valisha hata hiyo pete na anakuambia anakupenda
Unafikiri anakupenda wew?
Kama aliyemvalisha pete anam cheat wew kwake utakuwa na thaman?? usiwe mjinga
Anakuambia anakupenda na huku ana mke aliye mvisha pete ya thaman?!!
Iko siku nawe atakubwaga
Wanaume wa namna hii
Wanajichukia na ndio maana hawawezi kumpenda mtu yoyote
Wapi nilipo wadanganya
Huwezi kulala na mtu ambaye humuamini.Wapi nilipo wadanganya
Shikamoo kaka.Advantage of monoparty vs multi partism.Hakunq mwanaume mwenye pesa zake alaf anamke mmoja.K hazifani kabisaaa jamani
Ha ha ha,MarihabaaaaaShikamoo kaka.
😂Mke ni sebule, mchepuko ni choo, tunakitembelea tukiwa na haja. Sasa pima umuhimu. Sijasema choo si muhimu, ukumbuke nyumba ni choo.
"Alisikika mume wa mtu"
Ila Kuna wanawake wajinga jamani duniani....akili zao zimejaa matope
Pete ndio nini!!?Kuna Baadhi ya wanawake wana date na wanaume waliooa