Usimwamini mwanaume ambaye hampendi mke wake

First time nasoma thread yako da Marcy.

Sisi wanaume ni tofauti na nyingi wanawake ndio maana mfalme Suleiman alikua na wake wengi Sanaa na wote aliwahudumia.

King 👑 mswati na yeye hupigiwa gwaride na kuongeza mke mpya kila mwaka

From experiences unaweza ukaoa ndipo ukakutana na soulmate wako trust me mtu ambae mna crick kwa mnapenda na kuelewana Sana unakua Kama series ya ""THE LOST KINGDOM""

Kikubwa ni kuwa heshimu wake zetu Kama huyu wa kwangu penzi letu Kama New ride kila siku kumsaliti ikitokea huwa najilaumu Sanaa
 
Pete ndio nini!!?
Mbona mnabeba dhana za hovyo moyoni!!
Kwahiyo unaamini Pete ndio upendo au ishara ya kubebika sio!!?

Msiwe mnabeba vitu visivyo na uhai kuwa vya msingi hivyo,Sasa Pete Ina thamani Gani has na Ina msaada gani kwenye maisha yako Hadi uione ni ya thamani!!?

Binadamu ni viumbe vya hovyo Santa sometimes!
 
Eti Niko nae tu basi tu ila wewe ndo Kila kitu changu. .. Sasa kama unapendwa si ungeolewa wewe? [emoji1787][emoji24]
 
Kwa sisi ambao tuko mbali na familia zetu, unatushauri je? Kuonana baada ya miezi sita au mwaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…