Usioe wala kuanzisha na mahusiano ya kimapenzi na mwanamke wa namna hii, utajuta

Usioe wala kuanzisha na mahusiano ya kimapenzi na mwanamke wa namna hii, utajuta

BB_DANGOTE

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2023
Posts
388
Reaction score
561
Habari ya wakati huu Wakuu,
Naomba Niongee na Wanaume,

Usioe wala Kudate na Aina Hii Ya Wanawake Utajutia..
‎
‎1. Feminist
‎
‎Anaetamani kuwa juu wanajifanya wanapambana sana na maisha
‎
‎Wanahisi Mwanaume Sio Kipaumbele Kwenye Maisha yao
‎
‎Avoid This Kind Of Women Ataharibu maisha yako na Kukunyima Amani
‎
‎2. Malaya
‎
‎Mwanamke ambaye Yupo tayari kulala na mwanaume Kwasababu ya Hela
‎
‎Avoid It
‎
‎Ataharibu Maisha yako..
‎
‎Ukweli ni kwamba Wanawake wa Aina Hio Utawajua Pale ambapo wewe umekutana nae
‎
‎Je Bar? Pub? Chuo? Mtaani?
‎
‎Mazingira yake tu Yatakuonyesha Kwamba Ni Mwanamke wa Aina gani..
‎
‎Kuwa makini Linda Thamani na Maisha yako.
‎
‎
‎3. Mwanamke Mwenye Mindset za Kimaskini(poverty Mindset)
‎
‎Sizani Kama Unaupenda Umaskini.
‎
‎Sizani Kama Unapenda Maisha Magumu...
‎
‎Ukweli ni Kwamba Epuka Aina Hio ya Mwanamke..
‎
‎Hakuna Kitu Utajutia Kama Kuwa na mwanake wa Aina Hii
‎
‎She Will Disappoint You..
‎
‎Utawezaje Kujua?
‎
‎Utaangalia Maisha anayotamani kuishi au anayoyaishi
‎
‎Silaha ya Kutoishi Maisha magumu ni Kufanya kazi
‎
‎Ujuzi au Biashara
‎
‎Sasa haongelei wala Huoni aliwaza angalau kuwa na Ujuzi au Kufanya Kikazi ambacho Atapata chochote.
 
Yule Eva aliekula tunda naona alikuwa na vyote

Feminism
Umalaya
Poverty mindset

Ndio akatuletea hii shida yote
😭😭😭😭
 
Leo singo mazaz wamenusurika? Kazi ni kipimo cha utu!
 
Kama unatafuta mke mwema na mtulivu, kwa nini utumie muda wako kwenye maeneo ambayo unajua kwa namna moja ama nyingine yanazalisha wanawake wabaya?

Kuna kitu kinaitwa projection , unakuwa unaona mabaya kwenye maisha ya wengine ili kuficha mapungufu yako ya kutojua kutathmini tabia za watu.
 
Back
Top Bottom