Feminists mostly ni wanawake ambao ni Rejected,age go,Toxic or ambao wanatoka familia za Single Mothers, Wengi hawajawahi kua na Baba maishani mwao,ambao walikua na baba labda baba alikua mlevi,Abuser,Rapist and so..they don't know a thing about Familia bora or Mwanaume,if you never had a FATHER in your life, what do you know about MEN??..
Umesema Malaya,Hao feminists ndio haohao Malaya,ni aina ya wanawake ambao they seek Men validation in a wrong way,.
Wanataka uhuru but Freedom should’ve meant you can choose. Not you must do everything.,
Mwanamke anaweza Kua career woman, perfect mom, perfect wife, all at the same time.but Uhuru wanaotaka hawa mitandaoni kutumia miili yao vile wanataka(which is okay)ila Men wakiongelea standard za Mke wa kuoa wanakua Triggered,..
Watu wanajificha kwenye kimvuli cha ufeminists sababu wanajua hawana sifa za kua mke,a good woman,insecurities,.hawa wa online wamedandia ideology around their flaws so they never have to change..
Wanatumia agenda just to give themselves a free pass to act entitled and covering up insecurities..
We are all going through this life the first time together. Unless you know what you are doing, tupunguze mawaidha potovu.