Usioe wala kuanzisha na mahusiano ya kimapenzi na mwanamke wa namna hii, utajuta

Usioe wala kuanzisha na mahusiano ya kimapenzi na mwanamke wa namna hii, utajuta

Feminism inavyoelezewa kwa maneno na maandishi, ni tofauti na inavyoenezwa na inavyotendeka.

Kwenye maneno feminism is about equal rights but practically it's about vengeance and bitter people's movement
Halafu feminism kama feminism si kitu kibaya
 
Halafu feminism kama feminism si kitu kibaya
Kwa namna feminism inavyoenenzwa na kutendeka ni kitu kibaya sana. Mwanaume yoyote mwenye busara ukimwomba ushauri wa vitu vya kuzingatia ukitaka kuoa lazima akwambie usioe feminist.

Do you think that men thinking pattern is coincidence?

Do you think you're wiser and intelligent than all those men?
 
TUnarudi palepale, tatizo ni tafsiri na jinsi inavyotumika mambo ya mimi kuwa smart kuliko wanaume yanaingiaje?
 
Ukishakutana na manipulation ya kufanywa mwanamke in the name of love utarudi hapa na milio kama ambulance
Kwa level nlizofikia kwa ss sioni kama kuna umhimu wa kuangalia mwanamke wa kuoa. Ukimpenda oa tu ili mradi anaweza kukupa watoto. Mambo yako fanya as if upo peke yako ukijua yeye hakupi sapoti yyt akitaka hela mpe vizuri tu ila asiingilie hustle zako
 
Sijalipenda ndio, pesa natafuta na zako nazitaka!
Hivi kwa nini mimi huwa nahisi hii 50/50 ni mpango uliobuniwa na wanaume ili watunyonye kwa njia ya kisasa bila sisi wenyewe kujishtukia 😁
 
TUnarudi palepale, tatizo ni tafsiri na jinsi inavyotumika mambo ya mimi kuwa smart kuliko wanaume yanaingiaje?
Kama inatumika vibaya maana yake ni kitu kibaya. Hata kama definition yake ni nzuri.

Wanaume almost wote linapokuja suala la kuoa wanasisitiza kuwakwepa feminist. Unavyosema feminism haina shida ndio nikakuuliza wewe una akili na busara zaidi ya hawa wanaume wote?
 
Kwa level nlizofikia kwa ss sioni kama kuna umhimu wa kuangalia mwanamke wa kuoa. Ukimpenda oa tu ili mradi anaweza kukupa watoto. Mambo yako fanya as if upo peke yako ukijua yeye hakupi sapoti yyt akitaka hela mpe vizuri tu ila asiingilie hustle zako
Hayo mambo yako unayofanya as if uko peke yako unatakiwa umshirikishe kwa sababu ya hao watoto uliozaa nae, usipofanya hivyo umetengeneza tatizo na watoto mliowazaa watakuwa bitter sana kwenye jamii sababu wamelelewa na wazazi wenye kujilinda na sio upendo
 
Mwanaume unafanywaje mwanamke ndani ya nyumba kisa umeoa feminist? Wanaume ifikie wakati tupunguze hofu za kijinga.
Unatakiwa kujua feminist hana utii, Sasa tanguliza hisia na mihemuko ya mapenzi kwa kuhisi unaweza kumuongoza feminist anayepambana kuvunja masculinity, Uhuru ni wako chukua feminist mmoja oa with time you will be learning along the way.

Kufanywa mwanamke sio kubadilishwa jinsia ni yeye kuwa mentally masculine na kukufanya wewe kuwa mentally feminine kwenye maamzi ya familia in the name of a man to be gentleman under love structure.
 
Ahsante kwa taarifa, hayanaga miongozo, na tatizo la binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...

Cc: Mahondaw
 
Team feminist
 
Attachments

  • 20260709_012941.jpg
    20260709_012941.jpg
    432.3 KB · Views: 13
Back
Top Bottom