Usioe wala kuanzisha na mahusiano ya kimapenzi na mwanamke wa namna hii, utajuta

Usioe wala kuanzisha na mahusiano ya kimapenzi na mwanamke wa namna hii, utajuta

Mimi nashauri kila mtu achague mtu anayempenda. Wewe kama ni feminist halafu nimekuelewa! Mimi naoa tu
Ukishakutana na manipulation ya kufanywa mwanamke in the name of love utarudi hapa na milio kama ambulance
 
Habari ya wakati huu Wakuu,
Naomba Niongee na Wanaume,

Usioe wala Kudate na Aina Hii Ya Wanawake Utajutia..
‎
‎1. Feminist
‎
‎Anaetamani kuwa juu wanajifanya wanapambana sana na maisha
‎
‎Wanahisi Mwanaume Sio Kipaumbele Kwenye Maisha yao
‎
‎Avoid This Kind Of Women Ataharibu maisha yako na Kukunyima Amani
‎
‎2. Malaya
‎
‎Mwanamke ambaye Yupo tayari kulala na mwanaume Kwasababu ya Hela
‎
‎Avoid It
‎
‎Ataharibu Maisha yako..
‎
‎Ukweli ni kwamba Wanawake wa Aina Hio Utawajua Pale ambapo wewe umekutana nae
‎
‎Je Bar? Pub? Chuo? Mtaani?
‎
‎Mazingira yake tu Yatakuonyesha Kwamba Ni Mwanamke wa Aina gani..
‎
‎Kuwa makini Linda Thamani na Maisha yako.
‎
‎
‎3. Mwanamke Mwenye Mindset za Kimaskini(poverty Mindset)
‎
‎Sizani Kama Unaupenda Umaskini.
‎
‎Sizani Kama Unapenda Maisha Magumu...
‎
‎Ukweli ni Kwamba Epuka Aina Hio ya Mwanamke..
‎
‎Hakuna Kitu Utajutia Kama Kuwa na mwanake wa Aina Hii
‎
‎She Will Disappoint You..
‎
‎Utawezaje Kujua?
‎
‎Utaangalia Maisha anayotamani kuishi au anayoyaishi
‎
‎Silaha ya Kutoishi Maisha magumu ni Kufanya kazi
‎
‎Ujuzi au Biashara
‎
‎Sasa haongelei wala Huoni aliwaza angalau kuwa na Ujuzi au Kufanya Kikazi ambacho Atapata chochote.
Hakika ni hovyoooo kabosa
 
Umesahau single mama hawa na matapeli na janga kwa taifa kwa sasa
 
Umesahau kumuweka Yule anayejianika Mtandaoni na yuko Tayari kuchakatwa na mtu yeyote bila malipo…
Yaani yeye ni kuchakatwa tu ndio habari yake.
 
Ukishakutana na manipulation ya kufanywa mwanamke in the name of love utarudi hapa na milio kama ambulance
Mwanaume unafanywaje mwanamke ndani ya nyumba kisa umeoa feminist? Wanaume ifikie wakati tupunguze hofu za kijinga.
 
Wamekusikia walio singo, sisi wengine tushafunga nafasi za ushauri.
 
Back
Top Bottom