BB_DANGOTE
JF-Expert Member
- Sep 25, 2023
- 388
- 561
Kabia kwa Juu finyia kwa ndani, inabidi uwe mwanamke ulietoka familia ya kitajiri fake it till you made utabadirikia ndani ya ndoaDuhh kasheshe! Kwahiyo tutabaki bila ndoa sio?
Hapo katika wote hakuna mwenye afadhali bora malaya sababu wote kuanzia 1 mpaka 3 ni malaya, unakabia kwa chini unatusambazia upendo kisha unatupa yote mauno sasaNinavyoona heri uangukie kwa mwenye mindset ya kimasikini kuliko feminist ama malaya
Naona leo umeandika point kidogo!Kabia kwa Juu finyia kwa ndani, inabidi uwe mwanamke ulietoka familia ya kitajiri fake it till you made utabadirikia ndani ya ndoa
Sawa naona siku hizi umebadirisha ratiba saa hizi unakua umeshalalaNaona leo umeandika point kidogo!
Nalala si muda, nimechelewa kurudi tuSawa naona siku hizi umebadirisha ratiba saa hizi unakua umeshalala
Wasimkumbushe wana vichaa!Leo single maza kasahaulika
Kesho nitaandaa uzi mujarabu kwajili ya wife materials stay updatedMimi nashauri kila mtu achague mtu anayempenda. Sababu hakuna mwanadamu aliyekamilika. Hata mtoa mada usikute na wewe una mapungufu yako ya kutosha tu hapo ulipo.
Nilijua ndo atakuwa wa kwanzaLeo single maza kasahaulika
Kwahiyo matunguli ya kaka Mshana Jr yanasaidiaNilijua ndo atakuwa wa kwanza
Natafuta Ajira ni kweli?Kuna watu wataumia kuona single mothers hawapo kwenye list
Leo singo mazaz wamenusurika? Kazi ni kipimo cha utu!Habari ya wakati huu Wakuu,
Naomba Niongee na Wanaume,
Usioe wala Kudate na Aina Hii Ya Wanawake Utajutia..
1. Feminist
Anaetamani kuwa juu wanajifanya wanapambana sana na maisha
Wanahisi Mwanaume Sio Kipaumbele Kwenye Maisha yao
Avoid This Kind Of Women Ataharibu maisha yako na Kukunyima Amani
2. Malaya
Mwanamke ambaye Yupo tayari kulala na mwanaume Kwasababu ya Hela
Avoid It
Ataharibu Maisha yako..
Ukweli ni kwamba Wanawake wa Aina Hio Utawajua Pale ambapo wewe umekutana nae
Je Bar? Pub? Chuo? Mtaani?
Mazingira yake tu Yatakuonyesha Kwamba Ni Mwanamke wa Aina gani..
Kuwa makini Linda Thamani na Maisha yako.
3. Mwanamke Mwenye Mindset za Kimaskini(poverty Mindset)
Sizani Kama Unaupenda Umaskini.
Sizani Kama Unapenda Maisha Magumu...
Ukweli ni Kwamba Epuka Aina Hio ya Mwanamke..
Hakuna Kitu Utajutia Kama Kuwa na mwanake wa Aina Hii
She Will Disappoint You..
Utawezaje Kujua?
Utaangalia Maisha anayotamani kuishi au anayoyaishi
Silaha ya Kutoishi Maisha magumu ni Kufanya kazi
Ujuzi au Biashara
Sasa haongelei wala Huoni aliwaza angalau kuwa na Ujuzi au Kufanya Kikazi ambacho Atapata chochote.
Fanya makosa yote lakini sio kuoa single mother, single mother ni mwanaume mwenye sura ya kikeKwahiyo matunguli ya kaka Mshana Jr yanasaidia