Usioe wala kuanzisha na mahusiano ya kimapenzi na mwanamke wa namna hii, utajuta

Mimi nashauri kila mtu achague mtu anayempenda. Wewe kama ni feminist halafu nimekuelewa! Mimi naoa tu
Ukishakutana na manipulation ya kufanywa mwanamke in the name of love utarudi hapa na milio kama ambulance
 
Hakika ni hovyoooo kabosa
 
Umesahau single mama hawa na matapeli na janga kwa taifa kwa sasa
 
Umesahau kumuweka Yule anayejianika Mtandaoni na yuko Tayari kuchakatwa na mtu yeyote bila malipo…
Yaani yeye ni kuchakatwa tu ndio habari yake.
 
Ukishakutana na manipulation ya kufanywa mwanamke in the name of love utarudi hapa na milio kama ambulance
Mwanaume unafanywaje mwanamke ndani ya nyumba kisa umeoa feminist? Wanaume ifikie wakati tupunguze hofu za kijinga.
 
Ninavyoona heri uangukie kwa mwenye mindset ya kimasikini kuliko feminist ama malaya
My baby sis, na wewe unakubaliana kuwa mwanamke kupambania maisha yake na ndoto zake ndio feminism? Kama ni hivyo I'm happily feminist
 
Wamekusikia walio singo, sisi wengine tushafunga nafasi za ushauri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…