Halafu feminism kama feminism si kitu kibayaFeminism inavyoelezewa kwa maneno na maandishi, ni tofauti na inavyoenezwa na inavyotendeka.
Kwenye maneno feminism is about equal rights but practically it's about vengeance and bitter people's movement
Ba mtu unanitafuta eeh?Acha ufeminist nitangaze ndoa."Islam",ndoa nne,si kharamu!Utakuwa wewe na@khantwe tu.Wallahi tena!
Hutaniwi ma mtu? Kwenye kile cheti hakuna sehemu inaeleza kwamba,mbali ya wawili/sisi,kutakuwa na partnership nyingine.Jus' a mere joke!Ba mtu unanitafuta eeh?
Kwa namna feminism inavyoenenzwa na kutendeka ni kitu kibaya sana. Mwanaume yoyote mwenye busara ukimwomba ushauri wa vitu vya kuzingatia ukitaka kuoa lazima akwambie usioe feminist.Halafu feminism kama feminism si kitu kibaya
TUnarudi palepale, tatizo ni tafsiri na jinsi inavyotumika mambo ya mimi kuwa smart kuliko wanaume yanaingiaje?Kwa namna feminism inavyoenenzwa na kutendeka ni kitu kibaya sana. Mwanaume yoyote mwenye busara ukimwomba ushauri wa vitu vya kuzingatia ukitaka kuoa lazima akwambie usioe feminist.
Do you think that men thinking pattern is coincidence?
Do you think you're wiser and intelligent than all those men?
Sijalipenda ndio, pesa natafuta na zako nazitaka!Kwamba ni lazima ujue kutafuta mapesa.Usiwe tegemezi.Hilo haujalipenda?
Hapo sawa la sivyo ungetafuta kwa kulala 😎Hutaniwi ma mtu? Kwenye kile cheti hakuna sehemu inaeleza kwamba,mbali ya wawili/sisi,kutakuwa na partnership nyingine.Jus' a mere joke!
Kwa level nlizofikia kwa ss sioni kama kuna umhimu wa kuangalia mwanamke wa kuoa. Ukimpenda oa tu ili mradi anaweza kukupa watoto. Mambo yako fanya as if upo peke yako ukijua yeye hakupi sapoti yyt akitaka hela mpe vizuri tu ila asiingilie hustle zakoUkishakutana na manipulation ya kufanywa mwanamke in the name of love utarudi hapa na milio kama ambulance
Hivi kwa nini mimi huwa nahisi hii 50/50 ni mpango uliobuniwa na wanaume ili watunyonye kwa njia ya kisasa bila sisi wenyewe kujishtukia 😁Sijalipenda ndio, pesa natafuta na zako nazitaka!
Nayaonea huruma mausingizi yangu, darling!Hapo sawa la sivyo ungetafuta kwa kulala 😎
Kama inatumika vibaya maana yake ni kitu kibaya. Hata kama definition yake ni nzuri.TUnarudi palepale, tatizo ni tafsiri na jinsi inavyotumika mambo ya mimi kuwa smart kuliko wanaume yanaingiaje?
Hayo mambo yako unayofanya as if uko peke yako unatakiwa umshirikishe kwa sababu ya hao watoto uliozaa nae, usipofanya hivyo umetengeneza tatizo na watoto mliowazaa watakuwa bitter sana kwenye jamii sababu wamelelewa na wazazi wenye kujilinda na sio upendoKwa level nlizofikia kwa ss sioni kama kuna umhimu wa kuangalia mwanamke wa kuoa. Ukimpenda oa tu ili mradi anaweza kukupa watoto. Mambo yako fanya as if upo peke yako ukijua yeye hakupi sapoti yyt akitaka hela mpe vizuri tu ila asiingilie hustle zako
Unatakiwa kujua feminist hana utii, Sasa tanguliza hisia na mihemuko ya mapenzi kwa kuhisi unaweza kumuongoza feminist anayepambana kuvunja masculinity, Uhuru ni wako chukua feminist mmoja oa with time you will be learning along the way.Mwanaume unafanywaje mwanamke ndani ya nyumba kisa umeoa feminist? Wanaume ifikie wakati tupunguze hofu za kijinga.
Kuna Demu mmoja wa Kinyarwanda Hatari Makwabwe Kidogo aniueNinavyoona heri uangukie kwa mwenye mindset ya kimasikini kuliko feminist ama malaya
Single mothers huwa hawana shida ni Hadi pale utakampigania akajipata na kusahau ya nyuma ndipo humkumbuka mtu wake!!Kuna watu wataumia kuona single mothers hawapo kwenye list
Usioe single mother Kwa namna (Sababu)yeyote,Leo single maza kasahaulika