Usiombe kuacha kazi kisa Forex. Nilivyofilisika na kukimbilia kijijini Tabora

Juzi Mimi na rafiki yangu tumeweka $10
Jana asubuhi ikawa $20.50
Nikamwambia withdraw hiyo $10 kwanza tuile Mambo yasiwe mengi
Duu umenichekeshaji lady trader.
Tokea kukuche wewe ndiye umenichekesha. Naomba tuwe na network ya traders wa Tanzania Ila sio kuuziana Ila kubadilishana story Mana trading is so lonely professional
 
Duu umenichekeshaji lady trader.
Tokea kukuche wewe ndiye umenichekesha. Naomba tuwe na network ya traders wa Tanzania Ila sio kuuziana Ila kubadilishana story Mana trading is so lonely professional
Hii haiwezekani.
 
Forex na Digital marketing na The Gwajimaz, The Mwamposaz na wengineo.
Hawa wote Ni walewale kasoro platforms
hapa unasemaje. Akaunti imetoka dola 1000 mpaka $13000+ .

Yaani huwa nafurahi ama naenjoi watu wanavyoiongelea trading nazidi kusoma akili za binadamu pindi zinaposhindwa kitu Basi zitatafuta kila Aina ya sababu.

Sikieni trading unawaza kinyume na tunavyowaza,tulivyolelewa,kufundishwa shuleni kwenye nyumba za ibada na jamii na hata nyumbani.yaani inaenda kinyume na ubinadamu wetu na ndio Mana watu wanadondokea pua.. hii sio kuwa Ni afrika tu hata ulaya wanapoteza ama kuliwa hela. Kuna mchina mmoja hapa akaniambia ana miaka minne haiichungulii Mana alipoteza $60k so anaichana nayo,Kuna dogo mmoja alipoteza dola laki Saba ulaya huko akajiua.
Hii kitu Ni ya Moto ama Ni Vita so usiisngie unadhani Ni game ya kitoto ama kisichana kila mtu anaweza akaicheza.yaani kufundisha Ni rahisi mno kuliko ku participate.
Hii dude sio lelemaa haina tofauti na Vita ama kupigana ngumi unadhani Ni wangapi Sasa watajaribu
 
Share hiyo na mfungua uzi. Mimi hizo katuni zenu huwa hata sizisomi. I'm very fine na hustles zangu, silali njaa.
 
Umeongea kweli kabisa hisia za trader anayeanza. Skills za trading Ni to trade without fear Basi ndio skills unazotakiwa kuzitafuta na sio eti kuwa na maarifa mengi mno ama kuwa smart
 
Duu umenichekeshaji lady trader.
Tokea kukuche wewe ndiye umenichekesha. Naomba tuwe na network ya traders wa Tanzania Ila sio kuuziana Ila kubadilishana story Mana trading is so lonely professional
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nilimwambia itoe hiyo kwanza tuile hiyo ingine ata ikifa itajijua huko
 
kama unaandika HUSIKOSE sehemu inayofuata . una haki ya kuliwa pesa zako
 
Yani unaanza forex baada ya kuacha kazi?

We boya kweli kwelii..

Halafu uliifanya fx kama full time job, wakati huohuo unaendekeza kula bata, mara umepita na kitrader chenzio cha udsm.... mara uko chuga kukesha night clubs..

Meanwhile you are a novice trader...

Wewe jamaa ni boya, narudia tena..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…