Usiombe kuacha kazi kisa Forex. Nilivyofilisika na kukimbilia kijijini Tabora

Mie natrade kupitia JustMarkets lakn spread zake ni kubwa sana kwahiyo nashindwa kufanya sculping. Kuna mdau humu alisema inawezekana kutrade kwenye sread ndogo. Kwa anaejua cha kufanya naomba anisaidie
 
1697884628795.png
 
Tumia Templer na deriv broker.
Kama una mawe ya kutosha, nenda Tickmill, Tickmill yuko vizuri sana .
 
Mie natrade kupitia JustMarkets lakn spread zake ni kubwa sana kwahiyo nashindwa kufanya sculping. Kuna mdau humu alisema inawezekana kutrade kwenye sread ndogo. Kwa anaejua cha kufanya naomba anisaidie
We kuna broker anakufaa tena ana account ya pro zero spread itakufaa sana ila min depost ni 500usd
 
kwan hio trade history inachukua mwaka kupost?
Jinsi ulivyoenda na huyo mwamba bampa to bampa, naamini maneno yako, forex now imekua ya kibabe sana, mentor ni wengi na wanapiga pesa kwa kufundisha na sio wao kutrade, hapa kama un akili lazima ujue kudownload hela ni kazi kuliko kutafuta mtaani.
 
hakuna kitu ngumu kama forex trading, ndo maana huwa najilipua, soko likienda upande wangu, nacheka likienda kinyume nalia natulia, wengi wanajiita pro traders ni ujanja ujanja tu wa kuuza signal na training ndo maana ukiwaomba trading history hawawezi kupa milele maana hawana, kuna yvle mmoja wa south alikujaga tz akakusanya dollar 500 za wabongo akasepa, kuna dada mmoja aliniambia kwenye group lao walikuwa vichwa 200, na kulikuwa na groups 4, na condition ilikuwa ili uingizwe kwenye group lazima ulipe hyo 500, sasa fikiria jamaa alipiga dollar ngapi kwa kuadaa watu na mentorship ya mchongo.
 
Jinsi ulivyoenda na huyo mwamba bampa to bampa, naamini maneno yako, forex now imekua ya kibabe sana, mentor ni wengi na wanapiga pesa kwa kufundisha na sio wao kutrade, hapa kama un akili lazima ujue kudownload hela ni kazi kuliko kutafuta mtaani.
Anaitaka ya mwezi mi nampa ya miezi mitatu tena ya acc ndogo tu speacil kwa gold
 
Attachments

  • Screenshot_20231023-193105-1.jpg
    Screenshot_20231023-193105-1.jpg
    27.7 KB · Views: 25
Back
Top Bottom