Forex si ya kila mtu. Wapo wanaofanikiwa kupitia forex na wapo wanaopoteza.
Kama ambavyo music, boxing, athletic, football, basketball, business, investment,umalaya, usenganyaji,uwongo,wizi,utapeli,udalali,muajiriwa,mtumishi,muoaji,muolewaji,muongeaji,mkimya,mwalimu,muhasibu,mwanasheria,,ufundi ujenzi,mhandisi,mwandishi,mwanasiasa,uchawa,ujipendekezaji,kupiga debe,pimp,kupamba maharusi,mchora madili,.mdangaji,mchonganishi,
Yaani uelewe kila mtu kina kitu akikutana nacho anajua kabisa this is for me no matter what, to get it or die getting it,Kama wale jamaa wanaosema bila nife Ila niwe katika harakati za kwenda Europe.
Anodi Shwaznegger anadai alipoliona jarida la kuhusu USA akiwa na 13yrs akasema kuwa this is EXACTLY where I wanted to end up.
Na Kuna mtu alivyokutana na trading akadai hii ndio inayonifaa mie Mana kwa sababu zifuatazo.
1-huhitaji kujipendekeza kwa mtu anunue bidhaa yako, akuuzie ama awe anakuchangia,akuajiri,awe mteja wako,akutangazie biashara yako,amuunganishe mahala upate kazi ama mchongo.
2- Huhitaji kujinyenyekeza kwa mtu,amaa kutaka kunyenyekewa ili tu ndio ufanyiwe ama ufanye Jambo fulani. Kiufupi kuabudu ama kuabudiwa hakupo. Yaani Kama unanichukia unaweza unachukua Oda zangu sokoni ama namie nikakuuzia ingawa sikupendi Mana simfahamu anayenunua ,this is digital world Ila katika physical world inabidi unikwepe Mana mie Ni mbaya wako.
3- Huhitaji kumfurahisha mtu ama ku polish people to like you ama kumpamba mtu kila wakati unamsifiasifia ili maisha yako Wanao wale,ili akupandishe cheo.
4- huhitaji kuambiwa ama uelekezwe ufanye Nini,yaani huhitaji kuwa Kama mtt unatawaliwa Kama mtumwa,yaani ukitaka kwenda hata toilet inabidi uombe ruhusa kwa Bosi wako,
5- Huhitaji kumfurahisha boss ,mtu,mteja ama yeyote so na hii kipaji.
6-huhitaji kuwaza kuwa utaamka muda gani ,Mara ukimbizane na usafiri road kuwahi job,Mara uwaze Leo nitachelewa nitafokewa,Mara traffic jam.
7-Huhitaji kuwa na mahala pa kufanyia kazi ama Ni muda gani ufanye kazi yaani mahala popote muda wowote na muda unapojisikia wewe unaingia sokoni kuwinda wale ambao wanaendeshwa na tamaa,hofu na haraka ya kutaka pesa ya fasta ,greed ya kutaka kujimwambafai kuwa Ni wako juu ya wengine wanaweza kutembea juu ya maji wanaposhinda kidogo,wasiokubali kupoteza,wanayotaka kuwa sahihi na wasiojua kuwaza kwa muda huo Ila wanawaza kesho na Jana.
8- Huhitaji kujitangaza,Mana sio matangazo,kuwa katika pozi ama Tabia fulani ambayo mmewe ama Bosi wako anaikubali.
8- Huhitaji dress code ,yaani uambiwe ama upangiwe Cha kufanya,kuvaa,lugha za kuongea,Huhitaji yaani mpaka nashindwa kuandika. Yaani unaweza ukameki hela huku unafanyiwa masaje na mtt laini,Mara unaogelea hela inazidi kuingia kwa akaunti yako
9-Hey mazafanta !!!! Do you think those immeasurable freedom come easily or can be handled to you easily like how mother bird hands worm to her chicks??
10- it has got an immesuarable sacrifices, dedication,hard work, commitments, Passion, patience, perseverance, endurance, and cold ice in your nerve blood.
You do what 95% of masses can't do then live the life that 95% desire to live.na ndio Mana hapa wanabakiaga kuomyeshwa hela na kutamanishwa wakiingia tu wanapigwa na kitu kizito wanarudi nyuma wanabakia kuitolea lugha ya kila namna kuwa haifai Mara Ni utapeli.
Hivi wewe kumeki annual salary ya mtu ndani ya masaa matatu unadhani Ni kirahisi Kama kula mbususu kimasiahara,kushabikia Simba na yanga,ama kuongea chadema na ccm,kupeana mbinu za kuzagamua kwa muda mrefu ama kucheki movie na listen music,kula sugary food,kuwaza Leo utaenda kula mbususu gani kwa ist yako. Isn't an easy but it's simple,it can be achieved by only hungry,starved and abnormal mind.
Trading and investment Ni utapeli achana nayo.