Usiombe kuacha kazi kisa Forex. Nilivyofilisika na kukimbilia kijijini Tabora

Usiombe kuacha kazi kisa Forex. Nilivyofilisika na kukimbilia kijijini Tabora

hakuna kitu ngumu kama forex trading, ndo maana huwa najilipua, soko likienda upande wangu, nacheka likienda kinyume nalia natulia, wengi wanajiita pro traders ni ujanja ujanja tu wa kuuza signal na training ndo maana ukiwaomba trading history hawawezi kupa milele maana hawana, kuna yvle mmoja wa south alikujaga tz akakusanya dollar 500 za wabongo akasepa, kuna dada mmoja aliniambia kwenye group lao walikuwa vichwa 200, na kulikuwa na groups 4, na condition ilikuwa ili uingizwe kwenye group lazima ulipe hyo 500, sasa fikiria jamaa alipiga dollar ngapi kwa kuadaa watu na mentorship ya mchongo.
Ugumu wa trading upo kwa mtu binafsi utalipa ata 100k usd kwa mentorship il kama hujajijuwa uwezi toboa,
 
Nahisi uliwahi sana kuchukua maamzi, ulipaswa kupigana na forex ukiwa ndani ya mfumo hadi kipindi utachokua umejipata
Nilikuwa nimechoka na maisha ya kufanya kazi saa nane kwa siku katika ofisi flani hivi pale Posta jijini Dar es Salaam. Ndoto yangu ilikuwa kubwa zaidi kuliko kiti changu cha ofisini na mshahara wangu wa kila mwezi. Nilikuwa na hamu kubwa ya kujaribu kitu kipya, kitu ambacho kingenipa uhuru wa kifedha na fursa za kutimiza ndoto zangu.

Nilitambua kwamba kwenye ulimwengu huu wa kisasa, forex ilikuwa njia inayopendelewa zaidi ya kuwekeza na kupata faida kubwa. Nilivutiwa na hadithi za watu waliojikomboa kutoka kwenye mikono ya ajira na kuwa mabosi wa maisha yao wenyewe kupitia biashara ya forex. Hivyo basi, niliamua kuwa mmoja wao.

Nilipofikiria juu ya kuacha kazi yangu na kujitosa kwenye ulimwengu wa forex, moyo wangu ulijaa msisimko na wasiwasi. Nilisoma vitabu vingi na kujiandaa kwa miezi kadhaa kabla ya kufanya uamuzi wa mwisho. Nikaamua kuwa huu ndio wakati wangu wa kujaribu kitu kipya, wa kujiletea mabadiliko kwenye maisha yangu.

Kuacha kazi haikuwa uamuzi rahisi, lakini nilihisi kwamba huu ndio wakati sahihi wa kujitolea kwenye safari ya forex. Nilijiandaa kihisia na kifedha, nikiwa na matumaini kwamba ningeweza kugeuza ndoto zangu kuwa ukweli. Niliamua kufungua akaunti yangu ya forex na kutumia akiba yangu kama mtaji wa kuanzia. Safari yangu ya kuelekea uhuru wa kifedha ilikuwa imeanza.

Husikose sehemu inayofuata...
 
Forex si ya kila mtu. Wapo wanaofanikiwa kupitia forex na wapo wanaopoteza.
Kama ambavyo music, boxing, athletic, football, basketball, business, investment,umalaya, usenganyaji,uwongo,wizi,utapeli,udalali,muajiriwa,mtumishi,muoaji,muolewaji,muongeaji,mkimya,mwalimu,muhasibu,mwanasheria,,ufundi ujenzi,mhandisi,mwandishi,mwanasiasa,uchawa,ujipendekezaji,kupiga debe,pimp,kupamba maharusi,mchora madili,.mdangaji,mchonganishi,

Yaani uelewe kila mtu kina kitu akikutana nacho anajua kabisa this is for me no matter what, to get it or die getting it,Kama wale jamaa wanaosema bila nife Ila niwe katika harakati za kwenda Europe.
Anodi Shwaznegger anadai alipoliona jarida la kuhusu USA akiwa na 13yrs akasema kuwa this is EXACTLY where I wanted to end up.

Na Kuna mtu alivyokutana na trading akadai hii ndio inayonifaa mie Mana kwa sababu zifuatazo.
1-huhitaji kujipendekeza kwa mtu anunue bidhaa yako, akuuzie ama awe anakuchangia,akuajiri,awe mteja wako,akutangazie biashara yako,amuunganishe mahala upate kazi ama mchongo.

2- Huhitaji kujinyenyekeza kwa mtu,amaa kutaka kunyenyekewa ili tu ndio ufanyiwe ama ufanye Jambo fulani. Kiufupi kuabudu ama kuabudiwa hakupo. Yaani Kama unanichukia unaweza unachukua Oda zangu sokoni ama namie nikakuuzia ingawa sikupendi Mana simfahamu anayenunua ,this is digital world Ila katika physical world inabidi unikwepe Mana mie Ni mbaya wako.
3- Huhitaji kumfurahisha mtu ama ku polish people to like you ama kumpamba mtu kila wakati unamsifiasifia ili maisha yako Wanao wale,ili akupandishe cheo.

4- huhitaji kuambiwa ama uelekezwe ufanye Nini,yaani huhitaji kuwa Kama mtt unatawaliwa Kama mtumwa,yaani ukitaka kwenda hata toilet inabidi uombe ruhusa kwa Bosi wako,
5- Huhitaji kumfurahisha boss ,mtu,mteja ama yeyote so na hii kipaji.

6-huhitaji kuwaza kuwa utaamka muda gani ,Mara ukimbizane na usafiri road kuwahi job,Mara uwaze Leo nitachelewa nitafokewa,Mara traffic jam.

7-Huhitaji kuwa na mahala pa kufanyia kazi ama Ni muda gani ufanye kazi yaani mahala popote muda wowote na muda unapojisikia wewe unaingia sokoni kuwinda wale ambao wanaendeshwa na tamaa,hofu na haraka ya kutaka pesa ya fasta ,greed ya kutaka kujimwambafai kuwa Ni wako juu ya wengine wanaweza kutembea juu ya maji wanaposhinda kidogo,wasiokubali kupoteza,wanayotaka kuwa sahihi na wasiojua kuwaza kwa muda huo Ila wanawaza kesho na Jana.

8- Huhitaji kujitangaza,Mana sio matangazo,kuwa katika pozi ama Tabia fulani ambayo mmewe ama Bosi wako anaikubali.
8- Huhitaji dress code ,yaani uambiwe ama upangiwe Cha kufanya,kuvaa,lugha za kuongea,Huhitaji yaani mpaka nashindwa kuandika. Yaani unaweza ukameki hela huku unafanyiwa masaje na mtt laini,Mara unaogelea hela inazidi kuingia kwa akaunti yako

9-Hey mazafanta !!!! Do you think those immeasurable freedom come easily or can be handled to you easily like how mother bird hands worm to her chicks??
10- it has got an immesuarable sacrifices, dedication,hard work, commitments, Passion, patience, perseverance, endurance, and cold ice in your nerve blood.

You do what 95% of masses can't do then live the life that 95% desire to live.na ndio Mana hapa wanabakiaga kuomyeshwa hela na kutamanishwa wakiingia tu wanapigwa na kitu kizito wanarudi nyuma wanabakia kuitolea lugha ya kila namna kuwa haifai Mara Ni utapeli.


Hivi wewe kumeki annual salary ya mtu ndani ya masaa matatu unadhani Ni kirahisi Kama kula mbususu kimasiahara,kushabikia Simba na yanga,ama kuongea chadema na ccm,kupeana mbinu za kuzagamua kwa muda mrefu ama kucheki movie na listen music,kula sugary food,kuwaza Leo utaenda kula mbususu gani kwa ist yako. Isn't an easy but it's simple,it can be achieved by only hungry,starved and abnormal mind.


Trading and investment Ni utapeli achana nayo.
 
Jooh siwezi kuutosheleza ujinga wako trading history ata ya miaka 6 nakupa maana sijaanza jana wala juzi, we endelea na ujinga wako kwamba Trading ni upuuzi
Sorry niga ,can I have your investor password. If you don't mind send me inbox. I wanna learn something from you. Am always learning this game everyday
 
Haki ya nani yani unaniletea andiko la mambumbu kama weewe astaghafirulah, mtu kama hujui kutrde hujui tu fullstop labda unambie zile synthetic index ndo kidogo iyo article inaweza ingia, foreign trade exchange either unaifanya physical or online lazima ujue mwelekeo wa sarafu

Ujue interest rate ikiongezwa au kupunguzwa kinatokea nini ujue supply and demand eti watu hawapati ela serious watu wanapata na wanapoteza vile vile
Haelewi Mana ya cfd brokerage.huku we're mirroring the price of underlying financial instruments. Yaani nikinunua gold Bei iliyoko kwa broker ndio iliyoko kwenye world market. Tunabeti for future difference ya price na biashara iliyohalalishwa ,yaani mie nikitredi kwa broker hisa za tesla na wewe ukanunua hisa halisi hatuna tofauti,sema mie nikiona zinashuka natoka fasta.
Yaani hajui Mana ya cfd trading industry,muache acha kumaliza mental energy
 
Back
Top Bottom