Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Wew na huyo mwenzako wote ni much know 🤓🤓🤓🤓🤓
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
usimtakie mabaya mwanadamu mwenzako🤣🤣Huyo mwache ataanza kuuza zile muvi za kutaftir ,mia Mia muda si mrefu.
100%Yah peace na love kwa kila mtu mkuu.
Sijamtakia mabaya,namwonyesha uhalisia tu wa huku mitaani🙏usimtakie mabaya mwanadamu mwenzako
Sijamtakia mabaya,namwonyesha uhalisia tu wa huku mitaani🙏
wivu tena? Hapa kuna mawili aidha na wewe ndio wale wanaojifanya wajuaji wa kila kitu kuhusu computer baada ya kusoma semester moja tu ya IT (hamkawii hata kusema mnaweza mka hack pentagon) au wewe ni wale wazee wa kuvaa vinjunga wa Makumbusho wanaojazana mpaka 10 katika duka moja la iphone ukiuliza wana kazi gani hata wenyewe hawajui zaidi ya kutembea na vitana vya kuchania ndevu.Acheni wivu
Hakuna kijana wa IT akose ajiraMpe muda aki-graduate na GPA ya 1st Class afu asipate kazi ndo atajua Dunia hada walimwengu shujaa!
Halafu na we ni mmbea tu na umejaa wivu, pumbavuAnaniambia achana na gmail, namwambia mimi gmail hii email naitumia toka niko kidato cha 2 zaidi ya mika 15 iliyopita na niliipenda kwa sababu ya simple user UI nikaachana na Yahoo. Akaniambia mnaitumia kwa sababu ni maarufu ila hakuna kitu ni css tu hiyo. Mimi nacheka tu
Mkuu hivi ni app zipi unaweza zitumia kwa android kufanya kazi za voice overs za wateja wa online?Amina
Hahahahah! Umenichekesha! Mimi pia ninatahaluma ya IT lakini mimi ni mkongwe kwenye game! Umesema ukweli! Unakutana na fresh graduate au mtu kalashialashia kauzoefu fulani alafu unakutana naye kwenye "real field"! Alooooh! Jamaa hawa ni "much know" hatari! Mwingine nilimwachie "network ya kampuni" nikaenda likizo! aliivuruga na kuharibu mawasiliano yote ikabidi nikatize likizo kurescue!😄😆😃Aisee ikitokea umekutana na mwanafunzi wa IT mwaka wa kwanza wengi ni much know.
Niko na dogo hapa kamaliza mwaka wa kwanza anasoma masuala ya security yani yeye kila kitu anasema anaweza hack iwe gmail, wi-fi, mitandoa ya simu atumie net bure, anakwambia gmail haiko secure, instagram anaweza kuhack.
Basi mimi namchora tu na kumkubalia.
Kila anachoona kwenye computer anasema usitúmie hicho tumia hiki ananitajia softwares ambazo si maarufu ili mradi vurugu tu.
Hapa kaniambia nisitumie chatgpt haina performance nzuri nitumie sijui flick.
😆😄😄😄😁mwaka wa kwanza kila mwanafunzi anataka kutengeneza na kumilliki softwares kama Elon musk,Mwisho wa siku wakihitimu wakija mitaani hawawezi hata ku develop web-sites
Ila uzuri anajuwa vitu ambavyo wengine hatuwezi kutumiaAisee ikitokea umekutana na mwanafunzi wa IT mwaka wa kwanza wengi ni much know.
Niko na dogo hapa kamaliza mwaka wa kwanza anasoma masuala ya security yani yeye kila kitu anasema anaweza hack iwe gmail, wi-fi, mitandoa ya simu atumie net bure, anakwambia gmail haiko secure, instagram anaweza kuhack.
Basi mimi namchora tu na kumkubalia.
Kila anachoona kwenye computer anasema usitúmie hicho tumia hiki ananitajia softwares ambazo si maarufu ili mradi vurugu tu.
Hapa kaniambia nisitumie chatgpt haina performance nzuri nitumie sijui flick.
No! Nina ya kawaida ya simu tu. Nipe hints chache na overall price ya vifaa basic mkuu. Nitashukuru!Mkuu kwanza inaanzia kwenye mic. Una mic ya usb yenye vigezo?
Yah lakini la muhimu kwenye field yao sio kujua jua vitu, inabidi ujue uweze kuimplement vitu. Kama ni developer utengeneze kitu watu waone. Ndio maana ni rahisi kujua uwezo wa mtu kwenye field yao utakuta mtu ana projects zake github huko. Their actions speak louder than wordsIla uzuri anajuwa vitu ambavyo wengine hatuwezi kutumia
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mm namtafita kijna tufany nae Kaz za kuiba miahamala ya kibenk na ya mpesa kinyume Cha hapo hzo it zenu hazifanyi KazYah lakini la kuhimu kwenye field yao sio kujua jua vitu, inabidi ujue uweze kuimplement vitu. Kama ni developer utengeneze kitu watu waone. Ndio maana ni rahisi kujua uwezo wa mtu kwenye field yao utakuta mtu ana projects zake github huko. Their actions speak louder than words