Usiombe ukutane na mwanafunzi wa IT mwaka wa kwanza

Tatizo wengi wetu tunafikiria ajira kupita kiasi na unamsubiri mtu aikose after chuo ili life limnyooshe ili upate kumuambia "si nilikuambia"

Nadhani hiyo energy ni vizuri ukamuelekeza ni wapi pa kuipeleka maana watu wa IT wanaojielewa hata bila ajira, bado wanaweza survive mjini fresh tu kama wakiwa wazuri kwenye vitu vinavyohitajika zaidi kama website na graphics
 
No! Nina ya kawaida ya simu tu. Nipe hints chache na overall price ya vifaa basic mkuu. Nitashukuru!
Haiwezi kuwork mkuu tafuta at least professional usb mic kama samso uc1 pro. Usinunue mic za chinese sijui ufero sijui fifini hizo kwenye voice over zitakulet down. Software za simu mkuu zipo kibao any can work maana kazi yake ni ndogo tu na mara nyingi itakuwa tu ku cut delete hutohitaji kuweka effects wengi wanahitaji uyatume kama yalivyo bila hata compression
 
Mm namtafita kijna tufany nae Kaz za kuiba miahamala ya kibenk na ya mpesa kinyume Cha hapo hzo it zenu hazifanyi Kaz

Nawatafuta wale wanafunzi walio hack mfumo wa chuo na kujilipia ada hao ndio maa it nawahitaji

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Wale walizingua, wangeendelea jilipie wenyewe sasa kuwalipia watu wengi sana lazima chuo kishtuke. Niliona kipe kipindi cha yule mwanadada wa discovery yule anahoji wauza madawa ya kulevya na criminals alikuwa sijui ukraine kabla ya vita ana jamaa wanapga hacking za miala. Jamaa anakuwa kwenye na kifaa kakichomeka kwenye computer anazunguka karibia na mabenki sijui anasema anajaribu kunasa vitu gani anasema akishanasa zoezi linaanzia hapo.
 
Haiwezi kuwork mkuu tafuta at least professional usb mic kama samso uc1 pro. Usinunue mic za chinese sijui ufero sijui fifini hizo kwenye voice over zitakulet down. Software za simu mkuu zipo kibao any can work maana kazi yake ni ndogo tu na mara nyingi itakuwa tu ku cut delete hutohitaji kuweka effects wengi wanahitaji uyatume kama yalivyo bila hata compression
So mchawi ni mic mkuu?
 
Mic na mazingira ya recording. Hakikisha hakina kelele wala mwangwi. Chumba chenye nguo zilizotúndikwa na shelves za vitabu wkinafaa pia
Duh! Kumbe software hata android zipo nyingi? Ok!

Hilo la chumba ni ngumu...!

And bei ya mic je? I mean hiyo uliyotaja!

Je, sihitaji pc ili niitumie mic hiyo???
 
Wale walizingua, wangeendelea jilipie wenyewe sasa kuwalipia watu wengi sana lazima chuo kishtuke. Niliona kipe kipindi cha yule mwanadada wa discovery yule anahoji wauza madawa ya kulevya na criminals alikuwa sijui ukraine kabla ya vita ana jamaa wanapga hacking za miala. Jamaa anakuwa kwenye na kifaa kakichomeka kwenye computer anazunguka karibia na mabenki sijui anasema anajaribu kunasa vitu gani anasema akishanasa zoezi linaanzia hapo.
Wale wapuuz sna eti unaenda kuwasanua wengine angejikia zake pekee ake angesepa SAS wao wanatangaziana madarasani

Mkuu kmaa uko vzr nicheki tuanze kahualifu fln HV [emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Duh! Kumbe software hata android zipo nyingi? Ok!

Hilo la chumba ni ngumu...!

And bei ya mic je? I mean hiyo uliyotaja!

Je, sihitaji pc ili niitumie mic hiyo???
Yah za usb zinasupport hata kwenye simu sema itakuwa ununue usb convertion to usb c. Na simu yako iwe ina support usb c. Mic bei usb mic nzuri hapa hapa mfano nilipna blue yeti inachezea 400 hivi samso uc1 pro sijaona hapa ila bei nayo itakuwa humo humo au 300k.
 
Wale wapuuz sna eti unaenda kuwasanua wengine angejikia zake pekee ake angesepa SAS wao wanatangaziana madarasani

Mkuu kmaa uko vzr nicheki tuanze kahualifu fln HV [emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ndipo walipokosea we wataka chuo kizima wasilipe si lazima wasanuke.
Mkuu hapana hii field mimi si yangu najua vitu juu juu vinavyinisaidiaga katika harakati zangu tu.
 
Yah za usb zinasupport hata kwenye simu sema itakuwa ununue usb convertion to usb c. Na simu yako iwe ina support usb c. Mic bei usb mic nzuri hapa hapa mfano nilipna blue yeti inachezea 400 hivi samso uc1 pro sijaona hapa ila bei nayo itakuwa humo humo au 300k.
Sawa sawa! Usb convertion ni lazima sana? Siwezi ku force kutumia pasipo conversion?
 
Nyingi ziñakuja na waya wa usb ya kawiada kea simu hauingui. Ukibahatika kupata latest ndipo utaikuta na waya wa usb c mkuu. Halafu ile cable ya conversion sidhan kama ni bei kubwa maana nmenunua computer ina usb c ports tu na jamaa kanipa bure hiyo converter
 
Ok! Nikiwa na PC nitakuwa na haja ya usb c?
 
Tatizo wengi wetu tunafikiria ajira kupita kiasi na unamsubiri mtu aikose after chuo ili life limnyooshe ili upate kumuambia "si nilikuambia"

Nadhani hiyo energy ni vizuri ukamuelekeza ni wapi pa kuipeleka maana watu wa IT wanaojielewa hata bila ajira, bado wanaweza survive mjini fresh tu kama wakiwa wazuri kwenye vitu vinavyohitajika zaidi kama website na graphics
We utakua sio mtanzania ,na kama ni mtanzania basi umewahi kuishi nje ya Tanzania, mawaza haya ni mageni kwa mtanzania
 
[emoji23][emoji1787] watu wamesoma harvad,waliotengeneza lugha ndio anazisoma alafu anasema yeye ndio kipanga.

mda mwengine watoto wwnafurahisha
 
Mkuu hizo ni cables tu unaweza nunua kutokana na pc uliyonayo. Usb c ndio standard ya usb do tegemea kuiona kwenye vifaa latest vyote vya miaka ya karibuni iwe simu na computers hadi iphone zitahamia huko
Ok sawa mkuu! Na software mashuhuri ni zipi? I mean zile bora
 
Back
Top Bottom