Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
- Thread starter
- #61
Hata mimi alisema kwanini naacha drvices zangu online muda wote wataniibia infos. Mimi nikamwambia hakuna info ambayo mimi naona ni ya maana sana au so sensitive kiasi cha kuogopa kuibiwa.Nina jamaa ni IT, kila akiingia kwenye mtandao lazima atumie VPN na sio kwamba ni hacker wala nini.
Kuna muda too much information inakupa wasiwasi kwenye maisha