Usiombe ukutane na mwanafunzi wa IT mwaka wa kwanza

Acheni wivu
wivu tena? Hapa kuna mawili aidha na wewe ndio wale wanaojifanya wajuaji wa kila kitu kuhusu computer baada ya kusoma semester moja tu ya IT (hamkawii hata kusema mnaweza mka hack pentagon) au wewe ni wale wazee wa kuvaa vinjunga wa Makumbusho wanaojazana mpaka 10 katika duka moja la iphone ukiuliza wana kazi gani hata wenyewe hawajui zaidi ya kutembea na vitana vya kuchania ndevu.
 
Halafu na we ni mmbea tu na umejaa wivu, pumbavu
 
Hahahahah! Umenichekesha! Mimi pia ninatahaluma ya IT lakini mimi ni mkongwe kwenye game! Umesema ukweli! Unakutana na fresh graduate au mtu kalashialashia kauzoefu fulani alafu unakutana naye kwenye "real field"! Alooooh! Jamaa hawa ni "much know" hatari! Mwingine nilimwachie "network ya kampuni" nikaenda likizo! aliivuruga na kuharibu mawasiliano yote ikabidi nikatize likizo kurescue!πŸ˜„πŸ˜†πŸ˜ƒ
 
Ila uzuri anajuwa vitu ambavyo wengine hatuwezi kutumia

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ila uzuri anajuwa vitu ambavyo wengine hatuwezi kutumia

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Yah lakini la muhimu kwenye field yao sio kujua jua vitu, inabidi ujue uweze kuimplement vitu. Kama ni developer utengeneze kitu watu waone. Ndio maana ni rahisi kujua uwezo wa mtu kwenye field yao utakuta mtu ana projects zake github huko. Their actions speak louder than words
 
Mm namtafita kijna tufany nae Kaz za kuiba miahamala ya kibenk na ya mpesa kinyume Cha hapo hzo it zenu hazifanyi Kaz

Nawatafuta wale wanafunzi walio hack mfumo wa chuo na kujilipia ada hao ndio maa it nawahitaji

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…