Haiwezi kuwork mkuu tafuta at least professional usb mic kama samso uc1 pro. Usinunue mic za chinese sijui ufero sijui fifini hizo kwenye voice over zitakulet down. Software za simu mkuu zipo kibao any can work maana kazi yake ni ndogo tu na mara nyingi itakuwa tu ku cut delete hutohitaji kuweka effects wengi wanahitaji uyatume kama yalivyo bila hata compressionNo! Nina ya kawaida ya simu tu. Nipe hints chache na overall price ya vifaa basic mkuu. Nitashukuru!
Wale walizingua, wangeendelea jilipie wenyewe sasa kuwalipia watu wengi sana lazima chuo kishtuke. Niliona kipe kipindi cha yule mwanadada wa discovery yule anahoji wauza madawa ya kulevya na criminals alikuwa sijui ukraine kabla ya vita ana jamaa wanapga hacking za miala. Jamaa anakuwa kwenye na kifaa kakichomeka kwenye computer anazunguka karibia na mabenki sijui anasema anajaribu kunasa vitu gani anasema akishanasa zoezi linaanzia hapo.Mm namtafita kijna tufany nae Kaz za kuiba miahamala ya kibenk na ya mpesa kinyume Cha hapo hzo it zenu hazifanyi Kaz
Nawatafuta wale wanafunzi walio hack mfumo wa chuo na kujilipia ada hao ndio maa it nawahitaji
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
So mchawi ni mic mkuu?Haiwezi kuwork mkuu tafuta at least professional usb mic kama samso uc1 pro. Usinunue mic za chinese sijui ufero sijui fifini hizo kwenye voice over zitakulet down. Software za simu mkuu zipo kibao any can work maana kazi yake ni ndogo tu na mara nyingi itakuwa tu ku cut delete hutohitaji kuweka effects wengi wanahitaji uyatume kama yalivyo bila hata compression
Duh! Kumbe software hata android zipo nyingi? Ok!Mic na mazingira ya recording. Hakikisha hakina kelele wala mwangwi. Chumba chenye nguo zilizotúndikwa na shelves za vitabu wkinafaa pia
Wale wapuuz sna eti unaenda kuwasanua wengine angejikia zake pekee ake angesepa SAS wao wanatangaziana madarasaniWale walizingua, wangeendelea jilipie wenyewe sasa kuwalipia watu wengi sana lazima chuo kishtuke. Niliona kipe kipindi cha yule mwanadada wa discovery yule anahoji wauza madawa ya kulevya na criminals alikuwa sijui ukraine kabla ya vita ana jamaa wanapga hacking za miala. Jamaa anakuwa kwenye na kifaa kakichomeka kwenye computer anazunguka karibia na mabenki sijui anasema anajaribu kunasa vitu gani anasema akishanasa zoezi linaanzia hapo.
Yah za usb zinasupport hata kwenye simu sema itakuwa ununue usb convertion to usb c. Na simu yako iwe ina support usb c. Mic bei usb mic nzuri hapa hapa mfano nilipna blue yeti inachezea 400 hivi samso uc1 pro sijaona hapa ila bei nayo itakuwa humo humo au 300k.Duh! Kumbe software hata android zipo nyingi? Ok!
Hilo la chumba ni ngumu...!
And bei ya mic je? I mean hiyo uliyotaja!
Je, sihitaji pc ili niitumie mic hiyo???
Ndipo walipokosea we wataka chuo kizima wasilipe si lazima wasanuke.Wale wapuuz sna eti unaenda kuwasanua wengine angejikia zake pekee ake angesepa SAS wao wanatangaziana madarasani
Mkuu kmaa uko vzr nicheki tuanze kahualifu fln HV [emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Sawa sawa! Usb convertion ni lazima sana? Siwezi ku force kutumia pasipo conversion?Yah za usb zinasupport hata kwenye simu sema itakuwa ununue usb convertion to usb c. Na simu yako iwe ina support usb c. Mic bei usb mic nzuri hapa hapa mfano nilipna blue yeti inachezea 400 hivi samso uc1 pro sijaona hapa ila bei nayo itakuwa humo humo au 300k.
Nyingi ziñakuja na waya wa usb ya kawiada kea simu hauingui. Ukibahatika kupata latest ndipo utaikuta na waya wa usb c mkuu. Halafu ile cable ya conversion sidhan kama ni bei kubwa maana nmenunua computer ina usb c ports tu na jamaa kanipa bure hiyo converterSawa sawa! Usb convertion ni lazima sana? Siwezi ku force kutumia pasipo conversion?
mimi sio much know mzeeKwahiyo jamaa yangu unapiga story na vitoto vya chuo akina mshamba_hachekwi dah age. Yako?
we dada unanichekesha sana😂🤣🤣Huyo mwache ataanza kuuza zile muvi za kutaftir ,mia Mia muda si mrefu.
Ok! Nikiwa na PC nitakuwa na haja ya usb c?Nyingi ziñakuja na waya wa usb ya kawiada kea simu hauingui. Ukibahatika kupata latest ndipo utaikuta na waya wa usb c mkuu. Halafu ile cable ya conversion sidhan kama ni bei kubwa maana nmenunua computer ina usb c ports tu na jamaa kanipa bure hiyo converter
We utakua sio mtanzania ,na kama ni mtanzania basi umewahi kuishi nje ya Tanzania, mawaza haya ni mageni kwa mtanzaniaTatizo wengi wetu tunafikiria ajira kupita kiasi na unamsubiri mtu aikose after chuo ili life limnyooshe ili upate kumuambia "si nilikuambia"
Nadhani hiyo energy ni vizuri ukamuelekeza ni wapi pa kuipeleka maana watu wa IT wanaojielewa hata bila ajira, bado wanaweza survive mjini fresh tu kama wakiwa wazuri kwenye vitu vinavyohitajika zaidi kama website na graphics
Mkuu hizo ni cables tu unaweza nunua kutokana na pc uliyonayo. Usb c ndio standard ya usb do tegemea kuiona kwenye vifaa latest vyote vya miaka ya karibuni iwe simu na computers hadi iphone zitahamia hukoOk! Nikiwa na PC nitakuwa na haja ya usb c?
Ok sawa mkuu! Na software mashuhuri ni zipi? I mean zile boraMkuu hizo ni cables tu unaweza nunua kutokana na pc uliyonayo. Usb c ndio standard ya usb do tegemea kuiona kwenye vifaa latest vyote vya miaka ya karibuni iwe simu na computers hadi iphone zitahamia huko