Hata mimi alisema kwanini naacha drvices zangu online muda wote wataniibia infos. Mimi nikamwambia hakuna info ambayo mimi naona ni ya maana sana au so sensitive kiasi cha kuogopa kuibiwa.Nina jamaa ni IT, kila akiingia kwenye mtandao lazima atumie VPN na sio kwamba ni hacker wala nini.
Kuna muda too much information inakupa wasiwasi kwenye maisha
Thanks kwa ushirikiano. Swali la mwisho. PC ya 4GB RAM, 500GB HDD na 1.6GHz CPU inaweza kufaa kwa kuanzia?Mkuu zile zile tu za vocals za studio kama cubase, adobe audio.. ila mimi natumia tu audacity maana sifanyah editing nyingi
Hichi kitu kinapotezea sana watu muda, nilikua nafanya hivi vitu chuo, mwisho wa siku ukijiangalia hata muuza Ice cream ana kipato kikubwa kuliko wewe, bora niliondoka tu mapema. Mshauri aachane na hio mentality, hata kama anacode inabidi awe na mentality za mfanyabiashara.Mkuu hata sibishani naye kila kitu mimi namkubalia. Maana yuko bsy anachapa code za python hapa anasema akimaliza anataka atengeneze file zake za kupenetrate mtandao wa voda sasa alikuwa hajaijulia vzuri python likizo hii ndipo ameamua kupambana nayo.
Kufaidi hela za hii industry inachukua mda sanaHichi kitu kinapotezea sana watu muda, nilikua nafanya hivi vitu chuo, mwisho wa siku ukijiangalia hata muuza Ice cream ana kipato kikubwa kuliko wewe, bora niliondoka tu mapema. Mshauri aachane na hio mentality, hata kama anacode inabidi awe na mentality za mfanyabiashara.
Hii ni kweli mkuu. Hata mimi nimefanya mambo mengi ambayo hayakuwa yananiingizia pesa kwa miaka mingi just to show watu my capabilities. Na yeye anajua mimi nilikuwa napenda sana haya mambo sasa hivi namwambia kuwa I am just a normal computer user tu.Hichi kitu kinapotezea sana watu muda, nilikua nafanya hivi vitu chuo, mwisho wa siku ukijiangalia hata muuza Ice cream ana kipato kikubwa kuliko wewe, bora niliondoka tu mapema. Mshauri aachane na hio mentality, hata kama anacode inabidi awe na mentality za mfanyabiashara.
Python... Unajua ukiwa first year ukitazama YouTube videos unahis utaweza kila kitu bila kujua kuna some tricks zinakuwa updated na ukija class mambo yanakuwa mengi sana na mwisho wa siku unaona bora utulie tu na mzuka wote unakataMkuu hata sibishani naye kila kitu mimi namkubalia. Maana yuko bsy anachapa code za python hapa anasema akimaliza anataka atengeneze file zake za kupenetrate mtandao wa voda sasa alikuwa hajaijulia vzuri python likizo hii ndipo ameamua kupambana nayo.
Duh!Nilishawai hack Google Adsense na nilipiga pesa within a Six months bila ya kuwa na website or YouTube channel na kila end of 21th nilikuwa na withdraw
Unakaataqmimi sio much know mzee
Ndio mjuaji sana huyoHuyo uliye mtag ni kitoto cha chuo?
🤣🤣🤣Umeniwahi na hii comment. Amsubiri Makumbusho kwenye maduka ya iphone baada ya ku graduate.
Atamkuta kafuga ndevu kisuruali kimembana, maneno mengi ya kudalalia iphone. Hapo hatowaza ku hack chochote.
Tutafutieni kigogo kwanzaNilishawai hack Google Adsense na nilipiga pesa within a Six months bila ya kuwa na website or YouTube channel na kila end of 21th nilikuwa na withdraw
Mwezi wa kwanza niliingiza 480 USD Na Baada ya hapo niliwaajiri madogo watatu na kila dogo nilimpa Pc pamoja na simu kwaajili ya hii kazi na hao wote wakipiga per day kwa kila mmoja ilikuwa si chini ya 90 USD so per day kwa madogo hao wote nilikuwa naingiza 200 mpaka 240 USD bt kuna cku wanazingua unakuta account zinafungiwa and so on ... Ilikuwa ukijisahau kidogo lazima Adsense wakupe Lock So kuna mda nawaambia wakaushe then wanapiga tenaMkuu ulipiga kiasi gani?