ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,575
- Thread starter
-
- #61
Hadi kucha na waxing(nywele za maku) wanafanyiwa huko na watu...then wanakuja kusema sisi ni wavivu..!
nionyeshe mfano. Mi najua wapo wengi.
hakuna mwanamke asiyejua kupika kaitika dunia hii hao uliokutana nao wanajiendekeza
wanawake wote wako juu katika fani zote au unataka nikuoneshe mfano hapa
kuna wengine wanajipaka vipodozi wakati wa kulala na wakati mwingine harufu yake huwezi hata kupata usingizi.
Mfano ana wa bungeni si unamuona yule
Kama fani gani?? Je kama umesafiri dada wa kazi au mdogo wako anaruhusiwa kukusaidia kazi zako kwa mumw wako??
Mkeo nini mwambie si kuja kulalamama hapa mwambie mie hiyo mifuta yake aiache hahahahahahahahhaaaaaaaaaaaaaa
Yule hata nywele sijui huwa anaosha lini maana style hiyo muda wote.
nyie wagumu kuelewa somo hata mtu awaeleze vipi. Dawa mnatengwa vyumba.
hahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
umenichekeshajeeeeeeeeee bestito umempenda yule mbunge na kaspi wetu wa tz kwa style ya nywele zake
Kama fani gani?? Je kama umesafiri dada wa kazi au mdogo wako anaruhusiwa kukusaidia kazi zako kwa mumw wako??
mwambie bwana mkeo asiwe ana paka hayo madude yanaleta magonjwa kwani hujafundisha AFYA
mwambie aje kwangu kungwi nitampa somo maridhawa namna ya kukaa na mumewe faragha kwa manukato ya udi wetu tuliozoea kule pwani
Hajawahi nifurahisha, halafu mbabe. sijui ukimuweka ndani patakuwa hapatoshi. sina uhakika kama aliwahi kuwa na mume.
nipe contact yako kwa msaada zaidi.
alishaachana nae siku nyingi watu wa sampuli ile mara nyingi huwezi kukaa nao hata kwa dk 5 maana anaripuka muds wowote ule si unamuona anashindwa kuongoza kule mod
ingia PM kwa msaada zaidi wa AFYA YA MKEO
waxing kwani lazima? Huwezi kujishave mwenyewe? Uvivu tu huo!
wewe inaelekea unanisoma hapa ngoja niondoke maana bakuli litaharibiaka mapema nikose mchuzi bure
Hii PM sijui jinsi ya kuingia. Kuna mtu aliwahi nitumia message ila mi kuingia ndo sijui. msaada tafadhali.
HAPO KWENYE AVATAR YAKO JUU KIDOGO KUNA ID NAME YAKO ICLICK HIYO ITAKUONESHA MANENO PRIVATE MESSAGE CLICK HAPO UTAKUWA UMESHAINGIA PM KISHA INGIA KWENYE KIBOX KUNIANDIKA ID YANGU KWENYE KISANDUKU KISHA KUNA KISANDUKU KINGINE CHA SUBJECT ANDIKA AFYA HAPO KISHA MAIN SUBJECT NDO ANZA KUBWAGA MANYANGA YAKO KISHA MWISHO KUNA SUBMIT CLICK HAPO ITANIFIKIA KWANGU UMENIELEWA AU BADO UKO UPCOUNTRY (Jokes)