Usiombe ukutane na mwanaume mvivu, nawe utakuwa mvivu vilevile


Uvivu kwa mwanamke au mwanamke,wrote hawa mmoja wao akiwa mvivu ni HASARA
 
kweli bestito kwa mwanamke na mwanaume pia ukiwa MVIVU ni majanga tu na unajireletea magonjwa na kuwa duni katika maisha yako umeongea kweli na umenigusa mkuu bestito wangu maana wengine hapa wamekuja na kulalama tu ohooo unatuambia sisi wavivu kwa wakati kweli ni wavivu

asante mkuu wangetokea 5 kama wewe tungesonga mbele kufuta adui huyu UVIVU
Uvivu kwa mwanamke au mwanamke,wrote hawa mmoja wao akiwa mvivu ni HASARA
 
ladyfurahia naomba majibu...mbona unakimbia maswali yangu?
 
Last edited by a moderator:
hivi wewe una nini kwani hujaona huko juu umejibiwa unataka hujibiwije nitamwita mtambuzi hapa endelea kuni:spy:


Huna lolote, maswali manne rahisi yamekushinda...unapokosoa wenzako, jichunguze kabla!!
 
Waachae wachague kazi.Siku hizi kuna ndoa za jinsia moja.Wasubiri waolewe na wanaume wenzao ndo wataosha vyombo na kudeki.Halafu vitu vingine,unafanya kwa upendo tu.Siyo kwa kuwa umeoa basi hata ma..ko uoshwe.Khaaa
 
Huwaga siongei na watu walioshindikana kama wewe naona unalako kifyatue kule achana na nyuzi za watu sio unasarandia tu hapa fyuuuuuuuuuuuuuuu
huna lolote, maswali manne rahisi yamekushinda...unapokosoa wenzako, jichunguze kabla!!
 
Huwaga siongei na watu walioshindikana kama wewe naona unalako kifyatue kule achana na nyuzi za watu sio unasarandia tu hapa fyuuuuuuuuuuuuuuu


Hapa umenena! Una akili sana we mwanamke! Nyuzi za watu kina nani?
Haya kimbia ukaoshe nywele hizo, zaidi ya mwezi hujaziosha..au umesuka hadi zinatoa harufu hujafumua...haya fanya shaa ukafumue!!
 
hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
uvivu wa mamabo mengine bestito sio wa bedroom kwani
kwani kule kusofu wako wavivu huko best yangu
mie nikajua uvivu wa bedroom bana
 

Washing machine na housegirl watafanya nini?
 
Hapa umenena! Una akili sana we mwanamke! Nyuzi za watu kina nani?
Haya kimbia ukaoshe nywele hizo, zaidi ya mwezi hujaziosha..au umesuka hadi zinatoa harufu hujafumua...haya fanya shaa ukafumue!!

Jamani my ex, plz lets go.
 
as long as nimekuoa nikakupa cheo cha Mrs fulani nimekupa kiki kubwa sana lazima uihangaikie bibie with pregnancy as an exception. lakini kama ni girlfriend kwangu naona si vizuri kumtumikisha maana kuna wanaume wenzangu manzi hata haujatangaza uchumba unakata makofi unamfanya hausigeli hapo hapo anasoma chuo kwa dada zangu guys like this hawana mipango endeleu na nyie na nyie
 
as long as nimekuoa nikakupa cheo cha Mrs fulani nimekupa kiki kubwa sana lazima uihangaikie bibie with pregnancy as an exception. lakini kama ni girlfriend kwangu naona si vizuri kumtumikisha maana kuna wanaume wenzangu manzi hata haujatangaza uchumba unakata makofi unamfanya hausigeli hapo hapo anasoma chuo kwa dada zangu guys like this hawana mipango endelevu na nyie na nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…