Fataki??Fataki - mwanaume anayependa kujihusisha kimapenzi na watoto wa Shule
π€Έπ
Mimi aliniambia β kuna wanawake wengi wazuri zaidi yako wanatamani kuwa na mimi, kwahiyo usijione bora sana.β Hii siku nilibadili maisha yangu ya kimahusiano kwa kumlima kibuti akawe na hao warembo zaidi yangu. Alilia yule mwanaume kama jinga.Wewe uliambiwa kauli gani na mwenza wako ukabadili maisha yako ya mahusiana?
Hivyo mkaamini alisamehe sababu hakuonyesha kulalamika..??Wanawake Bwana
Anaweza akakusamehe makosa makubwa sanaa
Halafu akakuacha kwa kosa dogo usilodhania
Kuna jamaa alichepuka na mdogo wa mke wake aliyekuwa anakaa naye nyumbani,, mke hata hakuonesha kulalamika alimsamehe
Ni miaka mitano imepita sahv wanamigogoro kibao isiyo na sababu
Baada ya kulia alikubali matokeo?Mimi aliniambia β kuna wanawake wengi wazuri zaidi yako wanatamani kuwa na mimi, kwahiyo usijione bora sana.β Hii siku nilibadili maisha yangu ya kimahusiano kwa kumlima kibuti akawe na hao warembo zaidi yangu. Alilia yule mwanaume kama jinga.
Mwanamke huwa hasamehi kinyonge, huwa anabaki na risiti ametunza moyoni.Wanawake Bwana
Anaweza akakusamehe makosa makubwa sanaa
Halafu akakuacha kwa kosa dogo usilodhania
Kuna jamaa alichepuka na mdogo wa mke wake aliyekuwa anakaa naye nyumbani,, mke hata hakuonesha kulalamika alimsamehe
Ni miaka mitano imepita sahv wanamigogoro kibao isiyo na sababu
Sio kama jinga ni jinga hasaaaMimi aliniambia β kuna wanawake wengi wazuri zaidi yako wanatamani kuwa na mimi, kwahiyo usijione bora sana.β Hii siku nilibadili maisha yangu ya kimahusiano kwa kumlima kibuti akawe na hao warembo zaidi yangu. Alilia yule mwanaume kama jinga.